Kwani mtulia alikuwa chadema?Mtulia anakubalika Kinondoni hiyo ni fact...sasa ili atekeleze sera zake smoothly akaamua kujiunga kwenye chama dola...na hii ni kwa sababu chadema ya sasa haitaki wabunge wake washiriki maendeleo.
Kwani mtulia alikuwa chadema?Mtulia anakubalika Kinondoni hiyo ni fact...sasa ili atekeleze sera zake smoothly akaamua kujiunga kwenye chama dola...na hii ni kwa sababu chadema ya sasa haitaki wabunge wake washiriki maendeleo.
Propaganda zako hazipati wachangiaji!
Hata viongozi wanaonekana ni wachovu wa mwili na akili ktk kampeni za KINO. Picha inajieleza vzr tu.View attachment 687935
Kama hampost picha mnapiga za nini?
Hiyo picha inaonesha jinsi malaika walivyoanza kuishi kishetani....Hata viongozi wanaonekana ni wachovu wa mwili na akili ktk kampeni za KINO. Picha inajieleza vzr tu.
Chadema hali MbayaKatimize majukumu yako wewe! Au kwa vile wewe na bosi wako HM hamjui mnafanya nini hapo basi mnaenda hovyo tuu?
Mnadhani kazi ya hapo ni kudeal na vimini tuu?
Kupigwa labda iwe mapanga na mabomu lakini kura hilo huwa halipo. Kama mnahakika na hilo hayo mabasi ya UDA yanayowaleta mikutanoni watu wa Bagamoyo ya nini? Maana hao hawapigi kura hivyo haiwasaidii labda katika kujenga mazingira ya kuiba tuuChagadema hali Mbaya
na mtapigwa majimbo yote hayo
Utaniambia
Mtulia anakubalika Kinondoni hiyo ni fact...sasa ili atekeleze sera zake smoothly akaamua kujiunga kwenye chama dola...na hii ni kwa sababu chadema ya sasa haitaki wabunge wake washiriki maendeleo.
Hapa umepiga propaganda kama kawaida yako, lakini kuna ukweli ndani yake na ninauona.
Watu wamechoka.Kila wakati na kitabu chake, Chadema ime graduate mambo ya kupost picha za mikutano tumewaachia kina jingalao wajifurahishe this time Chadema inapiga kimya kimya.
Sema kama Chaumma au ACT...CCM ni chama kubwa na dola.Chadema siku hizi imekuwa ya kipuuzi tu kama ccm
Upuuzi wote wa nchi hii ni ccm...ukikataa ukikubali lakini huo ndio ukweliSema kama Chaumma au ACT...CCM ni chama kubwa na dola.
Mkuu;Kwenye maisha hamuwezi wote kuwa level moja lazima liwepo kundi la wahamasishaji na wahamasishwaji na unapofanya fadhila usingoje shukrani..hata vijana wangu wa UVCCM kinondoni nhuwa nawambia hata mpige mayowe vipi mwisho wa siku inabidi mmpiganie wakuja Mtulia hutaki ondoka CCM.
Ma CCM yana mawazo ya kijinga kama kama jingalaoKatika chaguzi zote ndogo za ubunge zilizowahi kufanyika hapa Tanzania ambapo CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kimeshiriki, huu uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani katika majimbo ya Kinondoni na Siha unavunja rekodi kwa kukosa hamasa na msisimuko kutoka kwa vijana wa CHADEMA kwenye mitandao ya kijamii na hasa hapa Jamiiforums.
Vijana wa CHADEMA walikuwa wanaongoza kwa kuleta habari mubashara katika mikutano ya kampeni.
Katika kampeni hizi ambazo zinaendelea kwa sasa, tambo zote za habari mubashara hatuzioni tena.
Vijana wa CHADEMA wamekuwa kama wamekata tamaa au wana mgomo baridi.
Wamekata tamaa kwa sabahu wanajua tambo zao kwenye mitandao ni kupoteza muda.
Wana mgomo baridi kwa sababu juhudi zao za kujitoa muhanga hazitambuliwi kivitendo na wenye CHADEMA.
Hata Makene ambaye alikuwa very active kwenye jukwaa letu la siasa kwa sasa haonekani tena.
Ninaamini neno KARAI alilolisema aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema (BAVICHA),Patrobas Katambi hakuliokota bali limetokana na mjadala wa vijana wa BAVICHA wanajitolea kufanya kazi ngumu za kukinadi chama na wagombea lakini baada ya uchaguzi hawathaminiwi tena. Kuna wengine kwa sasa wanasota kwenye magereza bila kupata msaada wa kisheria kutoka CHADEMA.
Makene amewapigania kwa nguvu zote makamanda wengi kama vile Lema, Nassari na Sugu wakati wakiwa masikini lakini kwa leo wamekuwa mamilionea na wawekezaji wakubwa katika hoteli za kitalii, maduka ya kifahari na viwanda wakati yeye akiendelea kusugua kwenye viti vilivyoko kwenye kibanda kinachoitwa Ofisi ya CHADEMA Makao Makuu, Ufipa, Kinondoni.
Nafasi zilipotoka za kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki hakukumbukwa.
Nafasi nyingine imejitokeza ya kugombea Jimbo la Kinondoni, wenye CHADEMA wameenda kuleta mtu ambaye siyo mpiga kura wa Jimbo hilo ili awe mgombea.
Hata ndugu yangu, Mchambuzi wa Jamiiforums baada ya kuwekwa pembeni mwaka 2015 kumpisha Maulid Mtulia wa CUF ninaamini alidhani bahati imekuja tena kwa mlango wa nyuma bila kujua wenye chama wana mtu wao.
Nimeandika hivi kwa sababu aliyetujuza usiku wa manane kuhusu uamuzi wa CHADEMA kuingia tena kwenye uchaguzi mdogo kwa furaha kubwa alikuwa ni yeye kupitia hii thread,
LINK>>>CHADEMA kutia mguu Kinondoni na Siha
Kwa sasa amebaki karai Yericko na propaganda za kitoto. Ninampongeza kwa kazi ngumu yenye mazingira ya "kubadilisha gia" bila taarifa.
Kwa wale wanaifahamu CHADEMA ya wakati wa Dkt. Slaa watakubaliana na mimi kuwa kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA hasa kwenye eneo la uhamasishaji.
Baba jesca anawaita ng'ombe waliokatika mikia, mtulia amekatika mkia na bado ameteuliwa kuwa mgombea, yaani yuleyule aliyegombea 2015 amekuja kivingine, sasa sijui ana jipya lipi, maana nilimsikia neno moja, AMECHUMPA, sasa amechumpa ametua kwa mikono au makalio, ngoja tusubiri matokeoKwenye maisha hamuwezi wote kuwa level moja lazima liwepo kundi la wahamasishaji na wahamasishwaji na unapofanya fadhila usingoje shukrani..hata vijana wangu wa UVCCM kinondoni nhuwa nawambia hata mpige mayowe vipi mwisho wa siku inabidi mmpiganie wakuja Mtulia hutaki ondoka CCM.