Je, vidonda vya tumbo winaweza sababisha presha kupanda kuwa juu?

Ndio mkuu wangu.

Ukishakuwa na vidonda vya tumbo.

Tarajia tu magonjwa yote duniani utaumwa wewe leo hivi kesho vile ni ugonjwa wa maudhi mno.
 
Back
Top Bottom