Je, Vidonda vya tumbo (Ulcers) inaweza sababisha tatizo la nguvu za kiume

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
798
843
Wakuu hope mko poa.

Me ni kijana wa kiume, Kuna situation naipitia hadi nakosa raha.

Nilikuwa na wapenzi tofauti performance yangu kwa bed ilikuwa nzuri Sana, nilikuwa vizuri had katikati ya 2020.

Baada ya hapo niliumwa Sana tumbo, kuja kupima nilikutwa na ulcers Kali, nkaacha kula Maharage, tangawizi, pilipili etc.

Vidonda vimenitesa kweli, lakini nilikuja kushangaa performance yangu kitandani ilishuka Sana, yaani yaani nawai kumwaga, na nkishapiga kimoja hisia ukata kabisa, yaani naweza kaa Kama lisaa ndo mashine isimame, hapo unakuta demu mzuka ushakata.

Niliyekuwa nafanya nae mapenz nilikuwa nampenda Sana lakini hisia kwa bed Sina yaani zinakata,kabsa. Huwezi amini mpenz wangu ameniacha kwa vikosa vidogovidogo Ila najua performance yangu itakuwa imechangia, japo nilimpenda na kumtunza ameamua kunikimbia.

Nilipotafuta msichana mwingine Hali ni hiyo hiyo, performance mbaya, yaani nkishapiga kimoja mzuka unakata kabsa.

Wakuu hivi nikweli vidonda vya tumbo(Ulcers) vinaweza sababisha performance ya mwanaume kupungua? Je solution ni nini
 
Ukishakua na tatizo lolote la kiafya kwa mwanaume hupelekea hayo mkuu.

Šema tafuta mmoja umuoe mkuu, uzinzi sio Poa unaweza ongeza maradhi mengine
 
Kuacha kula vyakula vya gesi hakusaidii kujitibia Vidonda vyako vyaatumbo Aka Stomach Ulcer Kinacho takiwa utibiwe hivyo vidonda vyako upate kupona. Na ukiwa na Vidonda vya tumbo nguvu za kiume pia zinaondoka unakuwa huna nguvu za kiume nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia ili upate kupona amradhi yako uguwa pole mkuu.
 
Wakuu hope mko poa.

Me ni kijana wa kiume, Kuna situation naipitia hadi nakosa raha...

Hapo kwenye Bold sio matibabu ya vidonda vya tumbo, na huyo alokwambia una ulcers kali bila kufanya kipimo cha kumeza OGD ni muongo pia.

Tatizo la nguvu za kiume limegawanyika katika sehemu kuu mbili
1. Erectile Dysfunction- kushindwa kusimamisha uume vizuri
2. Premature Ejaculation-Kukojoa chini ya dakika mbili baada ya kumuingilia msichana

Haya matatizo yote mawili imebdi yaunganishwe na kuitwa Sexual Dyfunction ilikuingiza na matatizo kama yako yakushindwa kurudia gemu pamoja na hilo la kumwaga mapema.

Kushindwa kurudia inaweza kuwa kushuka kwa hormone ya testosterone ambayo ndo inayokupa hamu ya tendo na hali ya kumaintain tendo kumridhisha mwenzio.

Hayo yote yanaweza tokea kwa sababu labda vidonda vinakupa stress na kwa kawaida ukiwa na ugonjwa wowte kitabibu tunasema upo kwenye stress na inaweza kuathiri maisha yako kiujumla wake.

Fika hospitali uchunguzwe maana unavyozidi kuchelewa na hali itazidi kuwa mbaya sana, utaambiwa wafanya mazoezi, sijui kula nini. Sex is driven by hormones and other chemical compounds in the body. kula na mazoezi ni kinga ila ugonjwa ukishatokea unaitaji kutibiwa kwanza ndo uendelee na hizo kinga
 
Back
Top Bottom