Je utumiaji wa maneno haya ni udhalilishaji wa wanawake?

Hata mimi nimekuwa napata shida sana kuelewa haya maneno.Na siyo haya tu...yapo mengi na hayana mantiki yoyote! Ukijaribu kuangalia kitendo chenyewe.. sijui!
Ila ukishindana sana na hii misamiati..japo ya udhalilishaji..utajistukia unagombana na watu...watu wameshajiwekea utamaduni wa kutusi hilo tendo tena kwa kuwalenga wanawake..cha kufanya ni kuwarekebisha pole pole kwa upole... bila kuwatukana au kuwajia kwa jazba!

well said!!! hivi hichi kiswahili kinaeleka wapi? mie maneno mengi siyafahamu jamani halafu hakuna hata reference book!!!
 
well said!!! hivi hichi kiswahili kinaeleka wapi? mie maneno mengi siyafahamu jamani halafu hakuna hata reference book!!!

Sidhani kama ni kiswahili pekee. English nayo ina maneno machafu ya kudhalilisha hili tendo hasa kwa wanawake. Kwa mfano, pumping it, ripping it, screwing, nk. Hii ndo maana nimehisi kuwa inatokana zaidi na mfumo dume zaidi ya culture! Ndo maana najiuliza...ivi hili tendo linamfanya mwanamke kuwa inferior?
 
Back
Top Bottom