Je, utumbuaji majipu hauna faida?

IT PROFESSIONAL

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
228
95
Mpaka sasa wafanyakazi hewa wamefikia zaidi ya 7,700, lakini wakati huohuo kuna watu wanawatetea watumbuliwa ,hii ni haki kweli?
Hebu tujadili kidogo.
 
Mpaka sasa wafanyakazi hewa wamefikia zaidi ya 7,700, lakini wakati huohuo kuna watu wanawatetea watumbuliwa ,hii ni haki kweli?
Hebu tujadili kidogo.
Umesaidia sana tabia zimebadilika za watendaji Na watumishi wao. Wanaowatetea wanafiki au walifaidika nao. Sasa mirija yote imeshakatwa kama ile zama ya Azimio la Arusha. Washushwe wote hao Malaika nao wakaonje Hell fire aka Inferno! Go on our dearest President.
 
Wakuu kwanza nichukue fursa hii adhimu kuipongeza serikali hii ya awamu ya 5 kwa utendaji wake unaoonekana kuwa umetukuka hata hivyo ningeomba kuambiwa faida 3 tu muhimu mno za utumbuaji majipu jinsi ulivoleta impact ktk kuyafanya maisha ya sisi raia wa kawaida kuwa rahisi/nafuu
 
Hakuna Faida yeyote ile....maisha huku mtaani yamekuwa magumu sanaaaa biashara ....
Namkumbuka JK!!!
 
Back
Top Bottom