Je, Utulivu wa wamachinga katika msimu huu wa kutolewa, ni matokeo ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,544
15,215
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.

Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.

Aliyebuni hii mbinu anaakili nyingi sana.

Apandishwe cheo.
Amefaulu kama alivyofaulu Makamba enzi za mifuko ya plastic.

hata kama baadae wakileta fujo, ila sasa wanafanya vizuri.
 
Utakuwa umerogwa wewe!

Maamuzi atoe Rais Samia kuwa wapangwe bila fujo au kuharibiwa vitu vyao alafu sifa zimwendee Magufuli?

Nadhani chuki zako dhidi ya Samia zitakupa ukichaa!

Mafanikio yanayoonekana katika kupangwa upya kwa Wamachinga ni matokeo ya uongozi wa Rais Samia ambaye anaamini kwenye kutumia akili zaidi kuliko nguvu
 
acha majungu bro.
unawagombanisha viongozi wako.
Ukisifu awamu iliyopita umemsifu na Makamu wa awamu iliyopita.

ndio maana nimeweka alama ya kuuliza, Shule mbona hazisaidii jamii?
 
Wamepuliziwa moshi wa mwenge wakapumbazwa. Wakija kushtuka wapo vichochoroni huko ndani ndani 🤣😂🤣

Kuwa na upinzani imara ni jambo muhimu sana
Watanzania wangeelewa umuhimu wa hilo wangeulinda upinzani kwa wivu mkuu. Sasa hivi CCM na Serikali inafanya lolote inalotaka na hakuna wa kuizuia. Inasikitisha sana.

Na wala siwatetei machinga. Mimi ni mmoja wa ambao wanakerwaga sana na vibanda vyao vinavyochafua taswira ya miji, kuleta foleni barabarani na bughudha kwa wapita njia.
 
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.

Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.

Aliyebuni hii mbinu anaakili nyingi sana.

Apandishwe cheo.
Amefaulu kama alivyofaulu Makamba enzi za mifuko ya plastic.

hata kama baadae wakileta fujo, ila sasa wanafanya vizuri.
Eti kama Makamba alivyofaulu,mnazidi kumpalia makaa ya mawe,hata kama kakutuma
 
Utakuwa umerogwa wewe!

Maamuzi atoe Rais Samia kuwa wapangwe bila fujo au kuharibiwa vitu vyao alafu sifa zimwendee Magufuli?

Nadhani chuki zako dhidi ya Samia zitakupa ukichaa!

Mafanikio yanayoonekana katika kupangwa upya kwa Wamachinga ni matokeo ya uongozi wa Rais Samia ambaye anaamini kwenye kutumia akili zaidi kuliko nguvu
Lord denning nafikiri mtoa Uzi ameandika kwa SARCASM (KEJELI) ya hali ya juu sana.

Nilivyomuelewa ni kwamba; Toka Rais SSH ameanza kufanya kazi kila anachofanya au kutamka anabezwa na makundi mbalimbali yaliyokuwa na masilahi kwa utawala wa Magufuli. Kwa mfano alipopokea ndege walisema kapokea zilizonunuliwa na "mbeba maono"

Hili la machinga lilikuwa lilete mtafaruku mkubwa sana ukizingatia machinga wamejijenga sana katika miaka 5 iliyopita.

Mtoa mada @matanduizi ameandika kama kuwakejeli wanaomponda Mama kuwa kila kizuri kiliganyika sababu ya Mwendazake
 
Basi sikumpata vizuri🤣
 
Wamepuliziwa moshi wa mwenge wakapumbazwa. Wakija kushtuka wapo vichochoroni huko ndani ndani 🤣😂🤣

Kuwa na upinzani imara ni jambo muhimu sana
Watanzania wangeelewa umuhimu wa hilo wangeulinda upinzani kwa wivu mkuu. Sasa hivi CCM na Serikali inafanya lolote inalotaka na hakuna wa kuizuia. Inasikitisha sana.

Na wala siwatetei machinga. Mimi ni mmoja wa ambao wanakerwaga sana na vibanda vyao vinavyochafua taswira ya miji, kuleta foleni barabarani na bughudha kwa wapita njia.
Keynez siyo lazima uandike JF, sometimes soma tu points za wenzako utafaidika. Badala ya kupongeza kuwa zoezi limekwisha salama kwa machinga kutoka barabarani, wewe unaona wameonewa kwa kupelekwa ndani.

Nyie ndiyo mnasababisha WAPINZANI wapuuzwe.
 
Wapi nimesema wameonewa? Hata huku vichochoroni nisingependa waje wajenge mauchafu yao. Hawa watu wafuate sheria kama wengine wanavyotakiwa kufuata sheria, inatosha sasa. Tatizo serikali yenyewe ni mvunjaji wa sheria namba moja.
 
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.

Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.

Aliyebuni hii mbinu anaakili nyingi sana.

Apandishwe cheo.
Amefaulu kama alivyofaulu Makamba enzi za mifuko ya plastic.

hata kama baadae wakileta fujo, ila sasa wanafanya vizuri.
Mwacheni Mwendazake apumzike. Msilazimishe "legacy" 🙄
 
Huyu Makalla nilimuunderestimate sana, ila anaweza kwa kweli. Amenishangaza sana, sikumtegemea kama ni mtemdaji mzuri. Au nilikuwa simjui.
Nafikiri ni zaidi ya Makalla.
Maana nilikuwa naongea na jamaa mmoja ananiambia mwanza pia wamekuwa supportive sana.

Kuna viswali tenge najiuliza sana, nione sababu ni nini, au kwa sababu chadema iko jela au SHift ya misimamo ya kikorona imetuvuruga na kukosa muunganisho wa matukio ya nyuma na yajayo.
 
Mwacheni Mwendazake apumzike. Msilazimishe "legacy" 🙄
Legacy ya Muda mrefu nadhani huwa inalazimishwa baada angalau ya miaka kumi.
Kama ipo hata wewe mkuu unaweza kujikuta unajipa kafanyia kazi ya usafi wa post zako ili upate jukwaa la kumtumia kama rejea.

tujipe muda, na Mama tumpe muda.
Ila hii Psychological transformation ya kitaifa niko naitafakari pia inamaanisha nini.
 
Utakuwa umerogwa wewe!

Maamuzi atoe Rais Samia kuwa wapangwe bila fujo au kuharibiwa vitu vyao alafu sifa zimwendee Magufuli?

Nadhani chuki zako dhidi ya Samia zitakupa ukichaa!

Mafanikio yanayoonekana katika kupangwa upya kwa Wamachinga ni matokeo ya uongozi wa Rais Samia ambaye anaamini kwenye kutumia akili zaidi kuliko nguvu
Ni kweli "Magufuli is dead"na hatorudi tena.
Ameweza kuyafanya aliyejaaliwa na yale ambayo hakuyafanya hakujaaliwa.
Likewise Mama Samia atafanya atakayojaaliwa na yale ambayo hatoyafanya atakuwa hakujaaliwa.
 
Hekima kubwa.
 
Back
Top Bottom