Je, Utulivu wa wamachinga katika msimu huu wa kutolewa, ni matokeo ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli?

Kwa hili la Machinga serikali wameukandamiza mwingi! Now kubwa lililobaki ni kutengeneza mazingira ya watu kufanya siasa ya kistaarabu na uhuru bila mikwaruzano na vyombo vya Dola, kutukanana, kuzushiana uongo na kupigana! Udokozi wa kura nao ukomeshwe
 
Mwingi sana.
 
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.

Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.

Aliyebuni hii mbinu anaakili nyingi sana.

Apandishwe cheo.
Amefaulu kama alivyofaulu Makamba enzi za mifuko ya plastic.

hata kama baadae wakileta fujo, ila sasa wanafanya vizuri.
Machinga ni timing bomb. Hapa Jijini Mwanza wanasema hakuna shida.
 
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.

Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.

Aliyebuni hii mbinu anaakili nyingi sana.

Apandishwe cheo.
Amefaulu kama alivyofaulu Makamba enzi za mifuko ya plastic.

hata kama baadae wakileta fujo, ila sasa wanafanya vizuri.
Mtaongea yote ila uholela awamu hii marufuku,tunataka Kodi sio kulea uzembe na uchafu.
 
Utakuwa umerogwa wewe!

Maamuzi atoe Rais Samia kuwa wapangwe bila fujo au kuharibiwa vitu vyao alafu sifa zimwendee Magufuli?

Nadhani chuki zako dhidi ya Samia zitakupa ukichaa!

Mafanikio yanayoonekana katika kupangwa upya kwa Wamachinga ni matokeo ya uongozi wa Rais Samia ambaye anaamini kwenye kutumia akili zaidi kuliko nguvu
Mkuu umekuwa Iniesta safi sana unaupiga mwingi sana.
 
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.

Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.

Aliyebuni hii mbinu anaakili nyingi sana.

Apandishwe cheo.
Amefaulu kama alivyofaulu Makamba enzi za mifuko ya plastic.

hata kama baadae wakileta fujo, ila sasa wanafanya vizuri.
Kariakoo - Msimbazi leo kimewaka, polisi na machinga
 
Tumewatoa Sababu Ile Siku Kawe Tunawauliza "Tunachanja Hatuchanji " Wao Wanajibu Hatuchanji

Teh
Roho ngumu sana hiyo.

Ni upendo kwa mama. Nani kama mama?

Akisema inakuwa, akikataza inakuwa

Ukizingua anakuzingua. Mama ni mama hayo ni mamlaka pekee ya asili alonayo yanayoweza fanya jambo gumu likafanyika bila ukorofi.
 
Back
Top Bottom