BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,818
- 11,001
Mwezi uliopita baadhi ya wanafunzi waliokosa mikopo waliandamana,serikali ikatoa mikopo kwa mara ya pili,lakini wapo wanafunzi wengi wenye sifa na wameachwa serikali ikidai bajeti haitoshi,na mimi kama mpembuzi sijaona uthibitisho kua serikali bajeti haitoshi, je wadau ni kweli kua bajeti haitoshi ama ni utendaji wa siasa na maendeleo ,naomba mwongozo wenu, unaweza ukachangia kwa meseji ila usibipu 0712336687.