Je uteuzi wa Hussein Kattanga kwenda Idara ya mahakama ni horizontal au Vetical growth

Magu

Senior Member
Jun 13, 2011
156
56
Juzi Mhe. J.Kikwete alimteua H.Katanga kuwa mtendaji mkuu wa idara ya mahakama nchini kutoka kuwa Katibu mkuu TAMISEMI, je uteuzi huu ni kushushwa cheo,kupanda au ni cheo sawa?

Nawaombeni kujuzwa katika hilo
 
Hapana sio kupanda wala kushuka ni kazi maalumu tu!Siunajua kwamba nchi hii inaenda kimaslahi na kidini zaidi so jamaa kaona pale kuna maslahi na kijana ni muislamu ameona ngoja aoneshe nguvu ya dini kwenye idara ya mahakama au huelewi hata picha ya mahakama huioni?
 
Kiukweli, tukiwa na hisia za kidini sidhani nchi hii kama itakuwa na amani milele, mi nadhani tufocus uwezo alionao na sio kuangalia masuala ya kidini, kwa sababu ukifocus kwenye dini unapandikiza mbegu ya ubaguzi ndugu yangu fikiri kwanza kabla ya kusema neno.
 
Husein ana sifa nzuri na hasumbuliwi na siasa za aina yoyote na zaidi itikadi yake imemtawala kiroho lakini anajitambua kuwa kazini kwake ni Katiba ya nchi. Congrats Mh. Rais, wacha kijana akachape kazi pale Mahakama.

Amepaa zaidi kwani yeye anaongoza Muhimili wa nchi, Tamisemi iko chini ya Balozi Sefue, Bunge. Dkt.Tommy Kashilila na sasa Mahakama ni Alhaj Hussein Katanga.

Wakristo wenzangu, tuwe wakweli hapo hakuna udini bali kazi.....pale Mahakama pagumu sana.......Katanga prove them wrong Bro.
 
Sawa tumekusikia
 
Juzi Mhe. J.Kikwete alimteua H.Katanga kuwa mtendaji mkuu wa idara ya mahakama nchini kutoka kuwa Katibu mkuu TAMISEMI, je uteuzi huu ni kushushwa cheo,kupanda au ni cheo sawa?

Nawaombeni kujuzwa katika hilo
Leo hii ameteulewa kuwa balozi, kutokea Katibu Mtendaji wa Mahakama, Je hapo ni kupanda au kushuka!?
 
Back
Top Bottom