Je, utaratibu wa Serikali kutoa namba ya hundi ya mshahara ukoje?

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
495
Habari wakuu.
Hivi umeajiriwa na Serikali unacheleweshewa mshahara ukiuliza wanasema ndio wamerequest application for check no. Umeshahakiki kila kitu ndo umeniajiri how come unanicheleweshea mshahara kwa kigezo cha check no.
Swali ni je ni inachukua muda gani na kigezo kipi kinqangaliwa mtu apate check no. Asanteni
 
Daaah mimi nimejiajiri so izi mambo zenu ngoja mlio kwenye pay rol moja wje
 
Back
Top Bottom