iphoneProMAX
Senior Member
- Aug 30, 2021
- 104
- 94
Wake wote wakiosema Magufuli anatubania mpaka Sasa muna shilingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wake?Wake wote wakiosema Magufuli anatubania mpaka Sasa muna shilingi ngapi?
Anamaanisha 'wale'. Mkuu angalia maudhui ya mwandishi bhana.Wake?
hee!...kumbe jana mmepokea ndege?...mimi hata nilikuwa sijui.Mwenyezi Mungu amlehemu
Angetufariji
Angefanya tujiamini sana hata kwenye hatari
Angetuaminisha kuwa Mungu anatupenda sana sisi kuliko wengine.(hili ni jambo jema sana)
Angezitajirisha nafsi zetu kwa kutuwekea wazi utajiri tulionao nchini
Pia angetutangazia faida kubwa imepatikana tangu ununuzi wa ndege uanze.
Kwa kweli Jana wakati tunapokea ndege mbili za airbus bila kuwepo baba imeniuma sana na kuhisi haikutakiwa kuwa hivi.
Mipango ya kuzipokea na kuzizindua iko mbioni, mwali hufichwa kabla ya kutolewa hadharani.Mwenyezi Mungu amlehemu
Angetufariji
Angefanya tujiamini sana hata kwenye hatari
Angetuaminisha kuwa Mungu anatupenda sana sisi kuliko wengine.(hili ni jambo jema sana)
Angezitajirisha nafsi zetu kwa kutuwekea wazi utajiri tulionao nchini
Pia angetutangazia faida kubwa imepatikana tangu ununuzi wa ndege uanze.
Kwa kweli Jana wakati tunapokea ndege mbili za airbus bila kuwepo baba imeniuma sana na kuhisi haikutakiwa kuwa hivi.
Hivi jana zilipokelewa?Mwenyezi Mungu amlehemu