Hujui watu wamepanda madaraja, Deni la HSlB mimi limedrop toka milioni 7 mpaka 4.7.
Hizo sio faida eti?
 
Hakuna kitu inaniboa kama hii. Utafikiri ndo Mungu mtu. Magufuli my black as*

His era is gone. Let it be. Tena kikatiba hili baraza halikupaswa kuwepo. Basi tu sisi watz ni wapumbavu

Hapo pa asubuhi mama jioni jk
 
Ww inakuuma nini,Jtatu asubuhi unaamka na marehemu😆😆
Ndo maana nasema he is living rent free inside your heads,RENT FREE
 
Mwenyezi Mungu amrehemu,

Angetufariji

Angefanya tujiamini sana hata kwenye hatari

Angetuaminisha kuwa Mungu anatupenda sana sisi kuliko wengine (hili ni jambo jema sana)

Angezitajirisha nafsi zetu kwa kutuwekea wazi utajiri tulionao nchini

Pia angetutangazia faida kubwa imepatikana tangu ununuzi wa ndege uanze.

Kwa kweli Jana wakati tunapokea ndege mbili za airbus bila kuwepo baba imeniuma sana na kuhisi haikutakiwa kuwa hivi.
 
Mwenyezi Mungu amlehemu

Angetufariji

Angefanya tujiamini sana hata kwenye hatari

Angetuaminisha kuwa Mungu anatupenda sana sisi kuliko wengine.(hili ni jambo jema sana)

hee!...kumbe jana mmepokea ndege?...mimi hata nilikuwa sijui.
 
Mwenyezi Mungu amlehemu

Angetufariji

Angefanya tujiamini sana hata kwenye hatari

Angetuaminisha kuwa Mungu anatupenda sana sisi kuliko wengine.(hili ni jambo jema sana)

Angezitajirisha nafsi zetu kwa kutuwekea wazi utajiri tulionao nchini

Pia angetutangazia faida kubwa imepatikana tangu ununuzi wa ndege uanze.

Kwa kweli Jana wakati tunapokea ndege mbili za airbus bila kuwepo baba imeniuma sana na kuhisi haikutakiwa kuwa hivi.
Mipango ya kuzipokea na kuzizindua iko mbioni, mwali hufichwa kabla ya kutolewa hadharani.
 
Mwenyezi Mungu amlehemu

Angetufariji

Angefanya tujiamini sana hata kwenye hatari

Angetuaminisha kuwa Mungu anatupenda sana sisi kuliko wengine.(hili ni jambo jema sana)

Angezitajirisha nafsi zetu kwa kutuwekea wazi utajiri tulionao nchini

Pia angetutangazia faida kubwa imepatikana tangu ununuzi wa ndege uanze.

Kwa kweli Jana wakati tunapokea ndege mbili za airbus bila kuwepo baba imeniuma sana na kuhisi haikutakiwa kuwa hivi.
Hivi jana zilipokelewa?
 
Ama kweli majuto ni mjukuu, kama tungejua mapambano yako yangetufikisha hapa basi tungepinga harakati zako zote. Tungekubali kukaa katika maisha yale lakini siyo haya uliyotuachia.

Mungu akurehemu Rais wa kweli uliyewahi kutokea Tanzania. Tutaonana baadae.
 
76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom