Je utafanyaje mmeo akikuletea mtoto wa nje ya ndoa?

mak89

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
1,072
914
Wazima wana jamviiiiiiii?????!!!!!!????
Kuna rafiki yangu ana mtoto wa nje ya ndoa, huyu mtoto amezalia baada ya yenye kuwa ameshaoa,yule mwanamke aliye mzalia huyu mtoto wake anataka kumpa jamaa mtoto wake naye amlee kwakuwa hana uwezo wa kumpa basic needs huyo mtoto. Embu jamani okoeni jahazi huku maana jamaa anashindwa jinsi ya kumuambia mkewe. Acheni kejeri hii ni serious matter
 
Yan the same case imenikumba mpaka sasa sielewi ntamwanzaje kumueleza mke wangu
 
Mimi kama mwanamke sioni tatizo kwa mme kuleta mtoto wake nyumbani, mradi tu anifahamishe mapema nitamkubalia. Maana sina sababu ya kumfanyia mtoto wivu kwa kuwa si yeye tunaye-share au tuliye-share 'dudu'. Kama ni mimi nitampokea kwa mikono 2 katika familia kama mtoto wangu.
 
Kwa hiyo kumbe issue ni kushare dudu tu basi ndo kinaweza kukudissapoint kaazi kwelikweli
 
Mimi kama mwanamke sioni tatizo kwa mme kuleta mtoto wake nyumbani, mradi tu anifahamishe mapema nitamkubalia. Maana sina sababu ya kumfanyia mtoto wivu kwa kuwa si yeye tunaye-share au tuliye-share 'dudu'. Kama ni mimi nitampokea kwa mikono 2 katika familia kama mtoto wangu.
Jamaa kamwambia sasa hivi wife wake, ila mwanamke amesema hataki kumuona huyo mtoto hapo
 
Embu jamani okoeni jahazi huku maana jamaa anashindwa jinsi ya kumuambia mkewe. Acheni kejeri hii ni serious matter

Kujua kwanini alichit haitasaidia hapa ni kuangali kipi ni bora kwa better future ya huyo kid

Ahaaa!

Newsflash for ya! Dude should have thought about all that before he dipped his phallus in the vajayjay of his paramour.

You don't shoot first and ask questions later.
 
akae na huyo dada wakubaliane jinsi ya kumtunza huyo mtoto ikiwezekana kila mwezi apeleke kiasi fulani kwa ajili ya matumizi ya huyo mtoto.........

ila wanaume nyie pasua vichwa.
 
Jamaa kamwambia sasa hivi wife wake, ila mwanamke amesema hataki kumuona huyo mtoto hapo
huyo wife anahasira kwasasa ila akitulia atamkubali tu huyo mtoto.......
mtoto wa mwanamke mwenzio ni mtoto wako.
 
Mtoto atunziwe kwa mama yake mzazi baba apeleke matumizi kila mwezi.
umenena..mambo ya kulelewa mtoto na mtu mwingine wakati wewe upo hai na mwenye afya tele hata siyapendi.
mdada abaki na mwanae baba apeleke matumizi.
 
Back
Top Bottom