Je utafanyaje mmeo akikuletea mtoto wa nje ya ndoa?

Hajaamua tu hakuna cha wakati mgumu hapo! kwangu my kids first!


Ww unaongea 2,sio rahic km unavyofikiria!km ingekuwa rahic kuacha mke acngepata wakati mgum wa jins ya kumwambia!
Dam nzito kitu gani?ndo akae kawa mama yake,kwanza mtt mama na sio baba
 
Dada snowhite umenikumbusha paulss baba aliyelengesha mapacha ila hajatupa feedbak mpaka leo ila atakuwa na uzoef kwa kweli Binti.com its not all about kushea dudu ndugu yangu think outside the box utaekewa kwanini hii ningumu.umekwenda tembea nje ya ndoa tena peku,mpaka mtoto,magonjwa je ,kukutengenezea mazingira ya ukimwi na ujane na uyatima wa watoto hapa mimi nikifikiria nakua kichwa maji je ni wangapi anakwenda nao peku?lol acheni tu wanaume pasua kichwa,yaani mtoto wa nje kabla ya ndoa namlea kama malaika ila baada ya ndoa sitakuelewa kabisa itabidi tulijadili hilo suala kwa mipaka sana.
mi sijui nikoje huwa sisahau vitu!ile thread ilinigusa sana!mimi pia nilihitaji kupata feedbak lakini jamaa nahisi hakutaka tujue!nilimuuliza lakini naona aliamua kuifanya private which i respect!
haya makitu ya mtoto kuletwa haya nilishayaongeaga weee mpka dah!ila inauma!kwa amani na upendo wa kristu!mtu asiniletee mtoto nyumbani kwangu aliye mdogo zaidi ya umri wa ndoa yangu!PERIOD!
 
Unataka aendelee kucheat!? Si bora amwambie ukweli mkewe kwani akipeleka huduma atazaliwa wa pili, wa tatu...akome na yeye kucheat

Dero,acha aendelee kuchit!coz kimchukua imlee sio guarantee ya wao kustop!tena ndo kwanza umewapa nafac wakat ww unahangaika na mtt wao!
Mi nasema alelewe huko2,waendelee/wacendelee shauri yao coz huwez kuwazuia wakiamua kuendelea
 
Duh! wewe yaelekea akikuletea mwana lazima atakiona kitimtim.

Mkuu,cjaolewa!ila hii ndo misimamo yangu!coz nimeona haya mambo yanavyosumbua ndoa nyingi!no love,amani ndoa inakuwa chungu,watt wa nje ni mwiba!full stop!
Cwez kuruhusu huu ujinga ati....kwanza hyo wa kuthubutu ht kuniambia cjamuona,sembuse kuniletea nilee!hakunaga
 
Mkuu,cjaolewa!ila hii ndo misimamo yangu!coz nimeona haya mambo yanavyosumbua ndoa nyingi!no love,amani ndoa inakuwa chungu,watt wa nje ni mwiba!full stop!
Cwez kuruhusu huu ujinga ati....kwanza hyo wa kuthubutu ht kuniambia cjamuona,sembuse kuniletea nilee!hakunaga

My kinda gal!

Msimamo wako safi sana.
 
Kila mwanamke anaejua kutanua mguu, na akazaa, inampasa kulea mwanae. Hii ndo amri kubwa tena ni ya kwanza. Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, kila mwanaume ajuaye kutia mimba ajue kulea mwanae kwa kadri ya uweza wake.

Nabii na mtume king'
 
kwa nini tutiane dhambi za umama wa kambo?

Halafu mie wanaume wananiudhi sana inatoka peku peku huko ndo mwanzo wa kuleteana maukimwi......

Halafu huyo mwanamke alizalia nini kama hawezi kulea????

Walahiiiii ukiwaza ujinga wa wanaume utahamia u-celebacy
 
Kila mwanamke anaejua kutanua mguu, na akazaa, inampasa kulea mwanae. Hii ndo amri kubwa tena ni ya kwanza. Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, kila mwanaume ajuaye kutia mimba ajue kulea mwanae kwa kadri ya uweza wake.

Nabii na mtume king'


na watu wote waseme 'amina'
 
Km mkewe kakata kumpokea ampeleke mtoto kwa bib ake. Bora kampa makav laiv kuliko kukubal af unamtesa mwana wa mwenzio.
 
Inawezekana jamaa alimwambia mkewe hizi habari wakiwa sebuleni. Sisi wanawake huwa tunasikia na kuelewa vizuri pale tunapoambiwa tukiwa kitandani tu. Mwambie jamaa yako abadali strategy mama atalainika tu.

Mmhhh! nalo neno!
 
kaka komaa upeleke hudumu kumpeleka home noma
hii siyo solution..... ujue huyo ni mtoto atakua....
anaweza akakomaa sasa hivi lakini ikafikia siku mtoto au mama wa mtoto au tu majirani, ndugu, jamaa, marafiki watafikisha ujumbe kwa mke, hiyo itakuwa mbaya zaidi.
la maana hapo aongee na mkewe, tena kwa kuanzia aongee naye wakiwa wawili tu, asiite mtu mwingine. amwambie mkewe ukweli na ikiwezekana ilivyotokea. ampe muda wa kufikiria asilazimishe lazima apewe jibu siku hiyo.
 
Back
Top Bottom