Je utafanyaje mmeo akikuletea mtoto wa nje ya ndoa?

Inawezekana jamaa alimwambia mkewe hizi habari wakiwa sebuleni. Sisi wanawake huwa tunasikia na kuelewa vizuri pale tunapoambiwa tukiwa kitandani tu. Mwambie jamaa yako abadali strategy mama atalainika tu.

Nimeshamfikishia ila hajanijibu lolote
 
huyo wife anahasira kwasasa ila akitulia atamkubali tu huyo mtoto.......
mtoto wa mwanamke mwenzio ni mtoto wako.

Only kama alizaliwa kabla hatujaoana,kama walijiona wajanja wakamtafuta kwa siri wanashindwaje ku maintain usiri kwenye kumlea?
 
umenena..mambo ya kulelewa mtoto na mtu mwingine wakati wewe upo hai na mwenye afya tele hata siyapendi.
mdada abaki na mwanae baba apeleke matumizi.

Huyo mama mtoto anataka kuvuruga tu ndoa ya mwenzie,alikubali vp kuwa na uhusiano wa siri leo anataka mtoto akakae kwa baba! Na hatoishia hapo mtoto akipokelewa atataka aende kila wiki kumuona na nyodo kwa mwenzie. Ana lake jambo huyo.
 
wanaume wengine wanavua pete zao so ukute mdada amegundua jamaa kaoa ndo anataka akamwaribie na yeye kwa wife wake.
 
Inawezekana jamaa alimwambia mkewe hizi habari wakiwa sebuleni. Sisi wanawake huwa tunasikia na kuelewa vizuri pale tunapoambiwa tukiwa kitandani tu. Mwambie jamaa yako abadali strategy mama atalainika tu.

Nimeshamfikishia ila hajanijibu lolote
 
Asilete mambo ya ajabu!! Wamleee huyo mtoto mbaliii!!lawama za umama wa kambo zinahusu!!! Akuuuuu
 
Wazima wana jamviiiiiiii?????!!!!!!????
Kuna rafiki yangu ana mtoto wa nje ya ndoa, huyu mtoto amezalia baada ya yenye kuwa ameshaoa,yule mwanamke aliye mzalia huyu mtoto wake anataka kumpa jamaa mtoto wake naye amlee kwakuwa hana uwezo wa kumpa basic needs huyo mtoto. Embu jamani okoeni jahazi huku maana jamaa anashindwa jinsi ya kumuambia mkewe. Acheni kejeri hii ni serious matter

Amchukue ampeleke kwenye kituo cha watoto yatima.....then baada ya mwezi apitie hapo na wife amchukue!
 
Huyo mtu aangalie kati ya mke na mtoto/watoto nani ana ukaribu naye zaidi?

Damu ni nzito kuliko Maji bana! kama vipi lete mtoto, mama niaje alale
mbele. atapatikana mwingine mwenye utayari kuwalea wote mpaka wa kwake!

umenena..mambo ya kulelewa mtoto na mtu mwingine wakati wewe upo hai na mwenye afya tele hata siyapendi.
mdada abaki na mwanae baba apeleke matumizi.
 
umenena..mambo ya kulelewa mtoto na mtu mwingine wakati wewe upo hai na mwenye afya tele hata siyapendi.
mdada abaki na mwanae baba apeleke matumizi.

Naunga mkono hoja!apeleke matumizi huko2 kwa mama yake,hiz biashara za mtt kwnd kwa baba ifike sehem ziishe kabisa.kisa cha kulea mtt wa m2 wakati mama yake yupo?big noooooo
 
Dada snowhite umenikumbusha paulss baba aliyelengesha mapacha ila hajatupa feedbak mpaka leo ila atakuwa na uzoef kwa kweli Binti.com its not all about kushea dudu ndugu yangu think outside the box utaekewa kwanini hii ningumu.umekwenda tembea nje ya ndoa tena peku,mpaka mtoto,magonjwa je ,kukutengenezea mazingira ya ukimwi na ujane na uyatima wa watoto hapa mimi nikifikiria nakua kichwa maji je ni wangapi anakwenda nao peku?lol acheni tu wanaume pasua kichwa,yaani mtoto wa nje kabla ya ndoa namlea kama malaika ila baada ya ndoa sitakuelewa kabisa itabidi tulijadili hilo suala kwa mipaka sana.
 
Last edited by a moderator:
Huyo mtu aangalie kati ya mke na mtoto/watoto nani ana ukaribu naye zaidi?

Damu ni nzito kuliko Maji bana! kama vipi lete mtoto, mama niaje alale
mbele. atapatikana mwingine mwenye utayari kuwalea wote mpaka wa kwake!
damu nzito ndo apeleke matumizi , mtoto alelewe na mama na wewe uendelee na maisha yako.
 
Inawezekana jamaa alimwambia mkewe hizi habari wakiwa sebuleni. Sisi wanawake huwa tunasikia na kuelewa vizuri pale tunapoambiwa tukiwa kitandani tu. Mwambie jamaa yako abadali strategy mama atalainika tu.

Hakuna kitu km hicho wanawake tunatofautiana ww!hujakutana kichaa,akisema no ni no!yaan hyo mwanamke akaze na ackubali!apeleke huu upumbavu huko2 hata km mtt hana kosa,...akalelewe na mama yake mzazi,y awape shida wengine
 
Ina maana ameshindwa kupeleka matumizi mtoto ahudumiwe huko huko alikozaliwa??

Mambo mengine ni kujitafutia lawama na kumtafutia mkewe presha zisizo za lazima!!

Aaah... Mkiamua kuwa na nyumba ndogo muwage tayari kwa kutoa matumizi pindi nyumba ndogo zenu zikijifungua sio kuleta mizigo kwa wake zenu wa ndoa..!!
 
huu upumbavu ndo nilishakataa kitambo!yaan km mi ht acngethubutu ht kuniambia wangemlea kimya2 km walivyomtafuta!
Kuzaa uzae ww umpe mwingine shida kisa!?....Mark89,mwambie alelewe huko2 kwa mamaake
 
Huyo mtu aangalie kati ya mke na mtoto/watoto nani ana ukaribu naye zaidi?

Damu ni nzito kuliko Maji bana! kama vipi lete mtoto, mama niaje alale
mbele. atapatikana mwingine mwenye utayari kuwalea wote mpaka wa kwake!

Ww unaongea 2,sio rahic km unavyofikiria!km ingekuwa rahic kuacha mke acngepata wakati mgum wa jins ya kumwambia!
Dam nzito kitu gani?ndo akae kawa mama yake,kwanza mtt mama na sio baba
 
Back
Top Bottom