Je utafanyaje kuhakisha haujiui wala kuua kwasababu ya mapenzi?

Generetaion Z

JF-Expert Member
Oct 2, 2022
343
840
Wakuu
Sisi wana jf ni watu tuliokwiva katika masuala mengi hasa ya mahusiano
Case nyingi tumekuwa tukizi solve japo kimasihara ila ndo ivo tunatua

Sitegemei kuja kubaini member wa jf ameua au kujiua kwasababu ya mapenzi nitachoka sana

Sasa basi tujadili wwe kama wewe utafanyaje kuepusha kujidhuru au kumdhuru mwenzio kwasababu ya mapenz,

Hatua zipi utakazo chukuwa endapo unakaribia kufanya uamuzi uo, au mambo yepi utazingatia ili kuhakikisha hayo masuala hayaji upande wako
 
Yaani sitajiua sababu ya mapenzi kwanza kwani huyo mwanaume ndo anaenipa oxygen ?Pili mimi ni wa thamani sana na kuna offsprings 4 niliowaleta hapa duniani wananitegemea kwa asilimia 100 na bado ni underage. By the way yeye ni nani?Kuliko kujiua bora tupeane tu talaka. Maisha yalivyo matamu hivi nijiue sababu ya binadamu anaekata gogo chooni kama mimi tu yaani thubuuuutu.
 
Serious
 
Mtu kujiua sababu ya mapenzi unakuta tu amekurupuka hajakaa kikao na halmashauri ya kichwa chake baaaasiii....ila story ya katibu ni ya kufikirisha kidogo
Awajipi muda kabisa yani ata ajaribu mbususu ingine tu tena mnato ataghairi kujiua
 
Ukiacha hisia zitawale kichwa utaharibu, kuna ule msemo husema "SIOGOPI KUFA ILA NITAWAACHAJE WANAOBAKI" ule msemo ulilenga ubinafsi, ukiendeshwa na hisia utakuwa mbinafsi unaweza kujiau bila kufikiria wanaokutegemea nyuma yako hiyo yote ni kwa sababu umeweka hisia juu ya akili.... Ukitumia kanuni ya 90% akili, 10% hisia utaepukana na kuua na kujiua kwenye mahusiano.

ndo maana ukijaribu kujiua ikashindikana lazima uende jela kama alijaribu kuua😁
 
Hisia za mapenzi kuzi'control inabidi uwe mzoefu kidogo. Wale ambao hawajaruka ruka ujanani halafu anakuja kufunga ndoa direct wanapataga shida sana kwenye mahusiano.
😂
Sio kurukaruka tu, hata watu ambao hawapigi puli huwa mapenzi yanawapelekesha, mpaka wakipewa K wanamwaga ubongo wote 😂. Yaani mtu ukipiga puli vya kutosha. Unaona mapenzi ni puli iliyochangamka 😂😂.

Angalizo. Kama haujarukaruka ujanani oa mwanamke Bikra kabisa na ukague mwenyewe uone kitu kipo sealed kabisa, hakikisha unagoogle na kuangalia video YouTube unapata darasa la kutosha jinsi ya kukagua 😂😂😂.
Pia kama hauna moyo wa kusamehe 7x70 na kusahau, achana na mahusiano narudia tena KAMA HAUNA MOYO WA KUSAMEHE NA KUSAHAU ACHANA NA MAHUSIANO.
 
Wakuu
Sisi wana jf ni watu tuliokwiva katika masuala mengi hasa ya mahusiano
Case nyingi tumekuwa tukizi solve japo kimasihara ila ndo ivo tunatua

Sitegemei kuja kubaini member wa jf ameua au kujiua kwasababu ya mapenzi nitachoka sana

Sasa basi tujadili wwe kama wewe utafanyaje kuepusha kujidhuru au kumdhuru mwenzio kwasababu ya mapenz,

Hatua zipi utakazo chukuwa endapo unakaribia kufanya uamuzi uo, au mambo yepi utazingatia ili kuhakikisha hayo masuala hayaji upande wako
Nimepata elimu kubwa Sana hapa hapa Ni harvad nimeiva vibaya na mbinu za kijasusi nimechukuwa Happ Happ na zinafanya Kaz mbaya

Kwa hoja yako mm Kam mm goroko sitegemei kumua au Kutoa roho ya mtu kisa mapebzi Zaid Sana namu eliminate kbsaaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yaani sitajiua sababu ya mapenzi kwanza kwani huyo mwanaume ndo anaenipa oxygen ?Pili mimi ni wa thamani sana na kuna offsprings 4 niliowaleta hapa duniani wananitegemea kwa asilimia 100 na bado ni underage. By the way yeye ni nani?Kuliko kujiua bora tupeane tu talaka. Maisha yalivyo matamu hivi nijiue sababu ya binadamu anaekata gogo chooni kama mimi tu yaani thubuuuutu.
Sasa mambo ya kukata gogo yanaingiaje tena hapa🤣🤣🤣🤣
 
Mtu kujiua sababu ya mapenzi unakuta tu amekurupuka hajakaa kikao na halmashauri ya kichwa chake baaaasiii....ila story ya katibu ni ya kufikirisha kidogo
Aliyejiua na yeye aliwadharau waliojiua zamani?

Omba Mungu usiingie katika mpambano wa ngumi na roho yako.
 
Back
Top Bottom