Je utaburi wa Mwalimu Nyerere atakaeingusha CCM na mwana CCM mwenyewe unatimia?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Makada wengi wa CCM wapo kimya wanasubiri 2020 kuamka katika medani za siasa wakina Sophia Simba na wengineo natabiri 2020 kwa mwenendo wa Rais Magufuli kwa mwenendo wake wa kupendelea baadhi ya maeneo.

Tutegemee CCM kupata upinzani wa hali ya juu kama si kushindwa vibaya sana naona upinzani unashamili kwa nguvu kubwa mno hasa kipindi hiki ambacho inatumika nguvu kubwa kuuteketeza.
 
Back
Top Bottom