Je ushawai kuwa kiongozi yoyote katika mazingira fulani

Duu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kwani wewe uongozi hupendi mkuu
Sipendi aisee.

Nina nature ya utundu sasa sipendi kuwa kwenye limelight bana na sipendi publicity.

Sasa unajikuta watu hawana mbavu na ukiangalia umesema nini cha ajabu hamna ila watu wanafuta machozi aisee ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎhapana kwa kweli.
 
Basi itakuwa muonekano wako au unauchangamfu fulani sema uongozi ni rahaa kama utaupenda๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom