Je, ushawahi tongoza au kutongozwa kwa wimbo gani?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,512
Man oh man...Marvin Gaye was off the chain....

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=BKPoHgKcqag"]YouTube- Marvin Gaye Lets Get It On[/ame]
 
Man oh man...Marvin Gaye was off the chain....

YouTube- Marvin Gaye Lets Get It On

...Classic!

inanikumbusha miaka ile ya uhujumu uchumi,...VCR na TV zilikuwa bidhaa za kuzificha chumbani, tena unaangalia kwa sauti ndoooogo na kibao chake kingine 'Sexual Healing!'

Wadau mnasemaje? Wimbo unaweza kubeba ujumbe tosha kwa mlengwa au ndio kusema wengine wana pamba maskioni?
Je, ushawahi 'tongoza/tongozwa' kwa wimbo gani? :)
 
Hili si swali la Mbu aliloliuliza kwenye thread ya Marvin Gaye....mimi naona linajitosheleza kabisa kuwa mada inayojitegemea. Haya wewe umewahi kutongoza au kutongoza kwa kutumia wimbo gani?

Mimi kuna nyimbo kadhaa ambazo nimeshawahi kutongozea....

'Subalkheri mpenzi' 'shemeji shemeji huku mwazima taa'...

ukinitongoza na hizo hunipati
 
mie kila ninapotoka safari napokewa na mime wangu kwa kutolewa out na huwa anahakikisha wimbo wa '......pole sana mama, kwa kwa safari bibii, tangu uondoke ......' wa njeje.
Basi najisikia raha sana,
 
Mie wimbo wa Keith Sweat - TWISTED turned me on I like that song, baba watoto alikuwa ananikosha nao kweli.
 
Back
Top Bottom