Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,049
Habari wanabodi!
Naomba kuuliza kama umeshawahi kuwa na fake ID kwenye any social network.
Kama jibu ni ndio tueleze ilikuaje ukawa na fekero akaunti na ulikusudia nini?
NB: ID za jf hazihusiki kwasababu jf inatoa room ya kuwa anonymous. Ila kama uko jf ni male lakini in reality you're a female, basi wewe ruksa kujieleza. Mm nitajieleza baadae
Karibuni.