ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,105
- 3,476
Usijaribu.
Siku imeniishia vibaya sana. Kushukuru tu bado tupo pamoja. Aisee mambo ya weekend yamenijia vibaya nusura nikate switch.
Mida ya mchana nikanunua zangu vant kadhaa nikaweka kwenye fridge ati kwa vile bongo joto acha ninywe chilled.
Saa nikapiga mzinga mkubwa wala usinishtue kichwa. Nikaona nifungue ya pili. Mekunywa imefika robo tu vitu vikaanza kujikoki.
Nikaanza sikia kizunguzungu kikali nilikua nimekaa ikabidi nilale chini aisee nikaanza kuishiwaa nguvu huku naona kama roho inanitoka mwili umekua wa baridi ghafla hali ya kua nina sweat.
Dah nikaona sasa ndio nakufa. Ikanijia akili ya kujiokoa. Nikatambaa mpaka chooni nikafungulia maji kwenye shower nikalala chooni maji yakinimwagikia.
Ni baada ya masaa kadhaa ndio nikaona napata nafuu. Wadau kwa haya niloyoyaona tafadhalini msijaribu kunywa kvant ikiwa ya baridi.