Je, ushawahi kunywa K-Vant baridi?

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
1,409
2,000
Usijaribu.

Siku imeniishia vibaya sana. Kushukuru tu bado tupo pamoja. Aisee mambo ya weekend yamenijia vibaya nusura nikate switch.

Mida ya mchana nikanunua zangu vant kadhaa nikaweka kwenye fridge ati kwa vile bongo joto acha ninywe chilled.

Saa nikapiga mzinga mkubwa wala usinishtue kichwa. Nikaona nifungue ya pili. Mekunywa imefika robo tu vitu vikaanza kujikoki.

Nikaanza sikia kizunguzungu kikali nilikua nimekaa ikabidi nilale chini aisee nikaanza kuishiwaa nguvu huku naona kama roho inanitoka mwili umekua wa baridi ghafla hali ya kua nina sweat.

Dah nikaona sasa ndio nakufa. Ikanijia akili ya kujiokoa. Nikatambaa mpaka chooni nikafungulia maji kwenye shower nikalala chooni maji yakinimwagikia.

Ni baada ya masaa kadhaa ndio nikaona napata nafuu. Wadau kwa haya niloyoyaona tafadhalini msijaribu kunywa kvant ikiwa ya baridi.
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
63,657
2,000
Usijaribu.
Siku imeniishia vibaya sana. Kushukuru tu bado tupo pamoja. Aisee mambo ya weekend yamenijia vibaya nusura nikate switch.
Mida ya mchana nikanunua zangu vant kadhaa nikaweka kwenye fridge ati kwa vile bongo joto acha ninywe chilled.
Saa nikapiga mzinga mkubwa wala usinishtue kichwa. Nikaona nifungue ya pili. Mekunywa imefika robo tu vitu vikaanza kujikoki.
Nikaanza sikia kizunguzungu kikali nilikua nimekaa ikabidi nilale chini aisee nikaanza kuishiwaa nguvu huku naona kama roho inanitoka mwili umekua wa baridi ghafla hali ya kua nina sweat.
Dah nikaona sasa ndio nakufa. Ikanijia akili ya kujiokoa.
Nikatambaa mpaka chooni nikafungulia maji kwenye shower nikalala chooni maji yakinimwagikia.
Ni baada ya masaa kadhaa ndio nikaona napata nafuu.
Wadau kwa haya niloyoyaona tafadhalini msijaribu kunywa kvant ikiwa ya baridi.
Hukula. Mimi hizo ndio zangu. Nagonga mbichi mbichi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom