Je, Ushawahi kunasa/kukwama na gari yako kisa hujasalimia wazee wa kijiji?

Usifikiri wote Wana magari wengine hata harrier hawana... Ok, nilikwama na Range yangu ya mil 80 lakini haikuwa kesi nikitoka nikawamwagia hela safari ikaendelea
 
Watanzania wengi bado wanaamini upumbavu. Sasa kusalimia na kukwama gari wapi na wapi?

Ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.
 
Back
Top Bottom