MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,038
- 854
Hiyo hapana kwa gari langu na pia kwa sheria ya nchi hii si sawa maana inabidi baadhi ya sehemu za gari kama vioo inabidi uvunje ambayo ni kosa kisheria. Ila mkuu ahsante kwa hizi picha
Nahisi nchi zingine hazina traffic rules.
Inaonekana tuu kuwa hizi ni nchi za Ujamaa. Na vifaa vyao ni vya kikwekweli. Jaribu na Mark II yako uone kama piston zote hazijatokea mbavuni.