Je usafiri wako unautumia ipasavyo kama hawa jamaa

MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,038
854
Kwa mtizamo wangu hawa bandugu wanataka kurudisha pesa ndani ya miezi mitatu (3)
 
Attachments

  • c.jpg
    c.jpg
    61.4 KB · Views: 266
  • d.jpg
    d.jpg
    51.1 KB · Views: 459
  • download.jpg
    download.jpg
    44.2 KB · Views: 248
  • g.jpg
    g.jpg
    28.3 KB · Views: 225
  • h.jpg
    h.jpg
    43.2 KB · Views: 216
  • j.jpg
    j.jpg
    55.5 KB · Views: 209
  • l.jpg
    l.jpg
    30.7 KB · Views: 202
Dah!Huyo wa kitimoto sijui anaelekea wapi, ningejua ningemfuatilia nimalizie w/end yangu kwa nyama ya kitimoto
 
Huyu hatumii usafiri wake ipasavyo bali anaufuja ipasavyo. Sijui katika nchi alimo kama kuna sheria. Maana inaonekana hajali wenzake huyu!
 
Hiyo hapana kwa gari langu na pia kwa sheria ya nchi hii si sawa maana inabidi baadhi ya sehemu za gari kama vioo inabidi uvunje ambayo ni kosa kisheria. Ila mkuu ahsante kwa hizi picha
 
Hiyo hapana kwa gari langu na pia kwa sheria ya nchi hii si sawa maana inabidi baadhi ya sehemu za gari kama vioo inabidi uvunje ambayo ni kosa kisheria. Ila mkuu ahsante kwa hizi picha

Nahisi nchi zingine hazina traffic rules.
 
Back
Top Bottom