Je usafiri wako unautumia ipasavyo kama hawa jamaa

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
995
Points
1,000

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
995 1,000
Kwa mtizamo wangu hawa bandugu wanataka kurudisha pesa ndani ya miezi mitatu (3)
 

Attachments:

BHULULU

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Messages
4,904
Points
1,250

BHULULU

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2012
4,904 1,250
Dah!Huyo wa kitimoto sijui anaelekea wapi, ningejua ningemfuatilia nimalizie w/end yangu kwa nyama ya kitimoto
 

Thomas Odera

Verified Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
658
Points
225

Thomas Odera

Verified Member
Joined Nov 1, 2010
658 225
Hiyo hapana kwa gari langu na pia kwa sheria ya nchi hii si sawa maana inabidi baadhi ya sehemu za gari kama vioo inabidi uvunje ambayo ni kosa kisheria. Ila mkuu ahsante kwa hizi picha
 

Forum statistics

Threads 1,390,113
Members 528,091
Posts 34,042,964
Top