Je, Upo uhusiano wa anguko la Socialism ama Ukomunist Afrika na umasikini unaokumba nchi nyingi Afrika!?

M

Mnazareth

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
1,118
Points
2,000
M

Mnazareth

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
1,118 2,000
Si kwamba asili ya mwanadamu ni ubinafsi!??

Je unaweza kuthibitisha kuwa ubinafsi hutokana na malezi tuliyolelewa na Si vinginevyo!!!
Fikra ya binadamu ni kitu ambacho kinatengenezeka kufuatana na mazingira au malezi. Wewe ni mbinafsi kutokana na malezi uliyolelewa na si vinginevyo.
 
N

Nyakibimbili

Senior Member
Joined
May 4, 2019
Messages
186
Points
500
N

Nyakibimbili

Senior Member
Joined May 4, 2019
186 500
Naamini kabisa japo sina reference kuwa Socialism na Communalism ni DINI kama uislam na ukristo.

Nyerere alishindwa kufanya maamuzi ya kutumia nguvu kubwa ya hata kuuwa watu waliotaka kumpindua, nikwa vile alikuwa mkatoliki..ana chembe ya kuamini MUNGU yupo.

Maendeleo yoyote yale yanakafara, tena kafara KUBWA,KUBWA SANA. China na Russia nasikia hakuna ukristo wala uislam, hapo mungu wao ni aliyemadarakani, wakiamua kwenda mbele hakuna kuwaza mara mbilimbili.

Africa tungeendelea kama nchi hii ingeshikwa na viongozi wa kijeshi, sio hawa wa kiraia...tatizo ni uongozi sio mfumo.
Ungepata raha gani kuishi ktk nchi ya kipumbavu ambayo rais ndiye mungu kama China,Russia,n.Korea na takataka nyinginezo,,heri tz maskini kuliko China,Russia na jehanam nyinginezo
 
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
1,050
Points
2,000
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
1,050 2,000
Nashindwa kuelewa uliposimamia mkuu...

Ina maana ujamaa ulitakiwa upewe nafasi ukomae bila usumbufu kutoka kwa wale wanaoamini mfumo mwingine wa kibepari!???

Kuonesha ubora wake ujamaa ulitakiwa kuthibitisha uwezo wake na kushinda hila zozote zilizoletwa na ubepari...hivyo kufeli kwake kunaweza kuonesha ni kama mfumo dhaifu usio na tija!!!
Kumbuka hata Ubepari haujawahi kufanikiwa popote pale ambapo ulipigwa vita kwa mabavu, naposimamia ni kwamba hizi mifumo zote zinamazuri na mabaya yake, ingekuwa bora kama zingeachwa zishamiri kwa pamoja.

Na sitegemei kwamba ingekuja kutokea eti kukawa na mfumo mmoja utakaokuwa umekubalika sababu ya mafanikio yake, kuna nyakati ujamaa unahitajika na kunawakati ubepari unahitajika hata katika maisha yetu ya kila siku.

extremism is evil
 
M

mambio

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2017
Messages
568
Points
500
M

mambio

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2017
568 500
Naw
Si kwamba asili ya mwanadamu ni ubinafsi!??

Je unaweza kuthibitisha kuwa ubinafsi hutokana na malezi tuliyolelewa na Si vinginevyo!!!
Naweza kuthibitisha kwa kuangalia baadhi ya familia nilizokuwa nazo karibu. Kuna familia mbili nipo karibu nazo tangu udogoni. Hizi familia zinaishi kijima haswaa. Familia moja inawatu zaidi ya 30 ktk nyumba moja. kila gharama wana share, kuanzia mavazi, chakula hadi elimu.
Wapo vizuri wana amani na wanapendana sana. kuliko hizi familia nyingine (zakibepari) ambazo undugu unaishia kwa baba, mama, na watoto ikizidi sana labda mjomba na shangazi kwa mbaali.
Binadam akichangiwa na mazingira anaumba fikra ambazo zinaweza kuzaa upendo au ubinafsi.
 
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
1,050
Points
2,000
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
1,050 2,000
Ungepata raha gani kuishi ktk nchi ya kipumbavu ambayo rais ndiye mungu kama China,Russia,n.Korea na takataka nyinginezo,,heri tz maskini kuliko China,Russia na jehanam nyinginezo
hapo unazungumzia udikteta sasa sio ujamaa. wajamaa hawana viongozi miungu watu. viongozi miungu watu huweza kuchipuka kwenye mfumo wowote ule.
 
M

mambio

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2017
Messages
568
Points
500
M

mambio

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2017
568 500
Kumbuka hata Ubepari haujawahi kufanikiwa popote pale ambapo ulipigwa vita kwa mabavu, naposimamia ni kwamba hizi mifumo zote zinamazuri na mabaya yake, ingekuwa bora kama zingeachwa zishamiri kwa pamoja.

Na sitegemei kwamba ingekuja kutokea eti kukawa na mfumo mmoja utakaokuwa umekubalika sababu ya mafanikio yake, kuna nyakati ujamaa unahitajika na kunawakati ubepari unahitajika hata katika maisha yetu ya kila siku.

extremism is evil
Hili ndio lingefaa zaidi. Ubepari peke yake bila kuuchaganya na ujamaa ni hatari sana kwa usalama wa dunia. Ujamaa haujashindwa km wanavotaka kutuaminisha ila tunashurutishwa kuuacha. Kitu kinachoshindwa ni kile kinachojifia chenyewe bila kutumia nguvu kubwa kukiuwa.
 
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
1,050
Points
2,000
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
1,050 2,000
Hili ndio lingefaa zaidi. Ubepari peke yake bila kuuchaganya na ujamaa ni hatari sana kwa usalama wa dunia. Ujamaa haujashindwa km wanavotaka kutuaminisha ila tunashurutishwa kuuacha. Kitu kinachoshindwa ni kile kinachojifia chenyewe bila kutumia nguvu kubwa kukiuwa.
Ujamaa umepigwa vita mbaya sana, kuna wakati viongozi wajamaa kindakindaki walikuwa wakiitwa ma terrorists
 
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2018
Messages
382
Points
1,000
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2018
382 1,000
Ungepata raha gani kuishi ktk nchi ya kipumbavu ambayo rais ndiye mungu kama China,Russia,n.Korea na takataka nyinginezo,,heri tz maskini kuliko China,Russia na jehanam nyinginezo
Hapa suala halikuwa raha, ilikuwa maendeleo, na maendeleo siku zote yana JASHO NA DAMU.
 
N

Naminipo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
270
Points
250
N

Naminipo

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
270 250
Shida moja ya ujamaa ni kufifisha ubunifu wa mtu binafsi. Fikiria baadhi ya vijiji vilivyoitwa vya ujamaa haikuruhusiwa hata kuendesha mgahawa. Kila biashara ni ya kijiji. Watu walisubiri tu maelekezo ya viongozi. Sishangai hadi leo ubunifu ni chini sana, na mtu akithubutu kubuni wakubwa na hata raia wa kawaida au wataponda au kuweka vikwazo.
 
Forum statistics

Threads 1,304,164
Members 501,290
Posts 31,505,016
Top