Je upo tayari kusimamia biashara ya usafirishaji mizgo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je upo tayari kusimamia biashara ya usafirishaji mizgo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Enny, Jul 2, 2012.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Wandugu kama kuna mtu au watu wana uzoefu na biashara ya kusafirisha mizigo (malori).
  wnahitajika kuingia mkataba maalumu kwaajili ya kusimamia biashara hii kwa mkataba maalum.

  pm au wasiliana 0754353252
   
 2. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  napita tu mkuu
   
 3. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu nieleze vyema ili nihamasike. Biashara hiyo ninatakiwa niwe na magari yangu au ni maroli yao?
   
 4. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Unachotakiwa kufanya ni kuwa na uelewa wa biashara hiyo na pili kuwa na mtaji kido kwa ajili ya marekebisho ya gari kisha kulifanyia kazi kwa kutafuta mizigo na kuweka dereva wako halafu kumlipa mwenye gari kiasi mtakachokubaliana kwa mwezi.
   
Loading...