Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,704
- 2,363
Naomba ujitasmini kisha toa jibu kutoka ndani ya uvungu wa moyo wako
Kazi njema
Kazi njema
HahahaHajahahahahah
Mkuu joseverest tumekusoma kumbee
Ongera basi ww n wife material...ntakutafutaNdio.
Eeeh.... nakujua wwKabisaa..
jaman, pole sanaWakike hapana ataonewa onewa but natamani kijana wangu apate mke mwenye tabia kama zangu,mwema kama mimi,atakayempenda,kumweshimu na kumjali as I am to his father.....mwanangu wakike natamani awe sister tu si kwa maumivu niliyopitia ktk mahusiano
Hapo ni Noo tu50-50
Because mi mwenyewe sometimes Yes sometimes No
Ongera..... hemu weka picha yako mkuuNdio 100%
Hayo maoni yako. Ya kwangu ni hivyo.Hapo ni Noo tu