Je upo tayari kupata mtoto mwenye tabia kama yako?

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,703
2,359
Naomba ujitasmini kisha toa jibu kutoka ndani ya uvungu wa moyo wako

Kazi njema
 
Wakike hapana ataonewa onewa but natamani kijana wangu apate mke mwenye tabia kama zangu,mwema kama mimi,atakayempenda,kumweshimu na kumjali as I am to his father.....mwanangu wakike natamani awe sister tu si kwa maumivu niliyopitia ktk mahusiano
 
jaman, pole sana
embu tupe mkasa kidogo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom