Je uongozi tanzania ni ajira au opportunity, na kiongozi anawajibika kwa nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je uongozi tanzania ni ajira au opportunity, na kiongozi anawajibika kwa nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jan 13, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana JF
  Tanzania mie sielewi vizuri. Inakuaje viongozi hawawajibiki wa wananchi. Unaenda wilayani hata wananchi hawajui mkuu wao wa wilaya jina lake ni nani. Mfumo mzima kila mtu nateuliwa na rais na anawajibika kwake, wananchi hawana nafasi ya kupinga lolote.Mkuu wa wilaya anaweza akafanya anavyotaka. Rais anachagua watendaji mbalimbali anavyotoka, watoto wa ndugu zake, marafiki zake, etc. Anaweza kuchagua shemeji yake, mtoto wa mjomba wa shangazi nk. Nchi iendelee inategemea ni watu wa aina gani wapo katika nafasi mbalimbali. Rais anaweka watu ktk nafasi mbalimbali kutokana na mahusiano yake na wao. Pale inapokuja kumwajibisha inakua tabu. Kwa namna hii maendeleo ni ndoto. watafaidi tuu wale waliopo ktk mtandao wa rais.

  Ili jambo ninanipa shida.
   
 2. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  That's why we need total overhaul on constitution and not amendment.
   
Loading...