utakuja
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 990
- 800
Kama jibu lako ni Hapana ishia hapaaa...................
Kama jibu lako ni Ndio........
Kwamba unataka uwezo wa kufuta ma application yakijinga yanojaza memory ya simu lakini ayafututiki,kuongeza processor kutoka 800mhz hadi 1094mhz, kuongeza Ram kwa 256mb kwa kutumia swapper itayo kuwezesha kucheza games kama Dead Trigger bila kugoma, kuongeza memory kwa kutumia link2sd au hata data2sd ili kuweka apps kiboa 100+ na kufanya vitu vingine zaidi kama kuinstall custom rom na pia vinginevyo......
Hutabidi uroot simu kwa kutumia njia hii rahisi sana *NIMEIJARIBU NA IMEFANYA KAZI BILA SHIDA*
*ONYO*
NI vigumu sana kuaribu hii simu kwa hii njia lakini usipo fuata masharti chochote kinaweza tokea na mimi sita husika na uharibifu wowote kisa ya kutofuata maelekezo.
*Tatizo Litalotokea Ukiroot na Kuweka Custom Recovery*
Simu haito charge wakati ime zimwa bali ita waka moja kwa moja kwenda kwenye ClockWork Mod Recovery Menu.
NJIA YA KWANZA
hii wengi ndio wanasema rahisi lakini sija itumia so kama unajiamini jaribu, inatumia simple application ambayo hiyo application ndio ita root simu.
link hii >>>> [HowTo] One Click Root Huawei Y200
NJIA YA PILI
nimeitoa kwenye hii website>>>> to ROOT Huawei Ascend y200 (u8655) - Android Phones - Android Forum - A Community For Android Users and Enthusiasts
1. turn off "fast boot" in "applications" menu in settings
2. turn on "USB debugging" in "Development" in "Applications " in settings
download
http://www.android-h...fghi-signed.zip
and put it on your root SD card directory
download on a WINDOWS computer
http://www.android-h...00_v5.2_int.zip
and unzip file into a new folder
RUN THE INSTALL adb EXE FILE
when u have run the install adb exe , plug in ur phone to computer & a new drive will appear in my computer. install the adb program files choosing either win 7 or XP (2 choices)
HAVE THE Rootv5.2.bat FILE from zip ready to run on computer
turn off phone. remove battery for 5 seconds .
now we will change to custom recovery mode.
replace battery, plug in via usb to computer & hold "volume up" & power button on at same time until logo appears on screen
release up vol & power button & then immediately press "volume down & power button & hold until logo freezes / stays on screen / doesnt progress beyond the logo
(you may to continually hold power button and only swap between vol up & vol down as alternative)
Nyongeza yangu kwenye hiyo step ya juu itakua rahisi sana ukirudisha battery, bonyeza volume down kwanza alafu power button kwa wakati mmoja kwa sekunde 20 hadi logo ya huawei ina kaa bila kwenda zaidi ndio unaplug usb cable ikirecognize ndio unafuata step ya chini.
run the BAT file from the root zip file u extracted
wait for 10 15 seconds, then press RETURN .... will say stuff, then pause press RETURN again, repeat once more. it should say finished (hopefully) (or similar)
now u have mod recovery mode.
make sure u copied the Superuser-3.0.7-efghi-signed.zip file u downloaded above to the root directory of ur SD card.
turn phone off.
remove battery for 5 - 10 secs.
replace battery.hold Volume up button & power button on for 15 seconds (or until a text menu appears)
navigate menu with vol up & vol down keys , power button selects.
select install zip file from sd card.
select Superuser-3.0.7-efghi-signed.zip .
will run script for very short time & display success message.
now your phone is rooted.
enjoy
WEBSITE ZA MUHUMU
My Huawei - Root / Custom-ROMs / Modding
Root / Custom-ROMs / Modding für Huawei Ascend Y200 auf Android-Hilfe.de
Tumia google chrome browser maana zipo katika lugha ya kijerumani.
ukitaka overclock cpu,kuinstall custom rom na zaidi izi website zitakusaidia sana.
Neno la kufungia
Ukiwa unatatizo lolote na hii simu ya Huawei Ascend Y200 uliza hapa utapata ufumbuzi.