Je, ungependa kupata taarifa za miamala yote iliyofanyika kwenye kadi yako ya manunuzi mtandaoni?

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,504
646
Ili uweze kupata taarifa za miamala iliyokwishafanyika kuhusiana na kadi yako ikiwa ni pamoja na kuweka fedha kwenye kadi, kununua bidhaa na hata fedha zilizorudishwa baada ya manunuzi ya bidhaa ambazo hazikufanikiwa kukufikia.

Kupitia hii link hapa chini utaweza kupata taarifa hizo.

Acha wizi ndugu unataka mtu aingize data zake alafu mkwapue mzigo, acha hizo kabisa hela ni ngumu mno kwa sasa
 
Acha wizi ndugu unataka mtu aingize data zake alafu mkwapue mzigo, acha hizo kabisa hela ni ngumu mno kwa sasa
Siyo wizi aisee, hiyo kitu wameiprovide Vodacom kwenye menu ya M-Pesa Master Card na nimeitumia mimi iko poa kabisa Tena unachoingiza hapo ni namba ya card tu, wala usiingize taarifa muhimu za kadi yako. Ukitaka kuhakiki weka hata card ambayo iliisha expire itakuonyesha miamala yote.
 
Uthibitisho toka kisimu changu cha tochi.
IMG_20191122_082544.jpeg
1574400400091.jpeg
1574400427137.jpeg
 
Mwanzo nilidhani anachosema mtoa mada ni uongo/wizi, lakini kumbe kweli; ukitaka kusoma statement ya kadi yako ya M Pesa Mastercard unaenda kwenye site hiyo tajwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom