Ninyi TISS siku hizi mumeanza kumshauri vizuri rais wetu mpendwa JK. Zamani mulitoa ushauri wa hovyo, mukasababisha achukiwe na wananchi, wakati ni mtu mwenye mapenzi makubwa na nchi. JK has made history in this country on the New constitution issue! Maraisi wote waliomtangulia walikuwa madikteta katika hili.
USHAURI WANGU:
Wizara kwa namna yote lazima zipunguzwe.
Zinazotakiwa kubaki kwa sasa ni:
1.EA coz of the EA treaty.
2.Fedha na uchumi
3.Ujenzi, nyumba na ardhi
4.Defence
5.Internal security and immigration
6.TAMISEMI(isiwe chini ya waziri mkuu)
7.Wanawake na watoto
8.Sheria, katiba and good governance
9.Kilimo,misitu,maji,umwagiliaji,uvuvi na ufugaji( with 2 deputy ministers)
10.Afya na ustawi wa jamii
11.Habari,kazi,michezo na utamaduni.
12.Elimu( inclusive)
13.Foreign ministry(Membe abaki)
14.Wizara ya Nishati,madini(awe January Makamba)
Hizi zinatosha kabisa kwa TZ.
Mambo mengine yachomekewe humo kama idara.
Success stratergy: Kuweka mawazili ambao wana fani husika ya wizara. JK asiangalie siasa, bali uwezo wa mtu.
Magufuli abaki wizara hiyo ya ujenzi, Nahodha abaki w.ya.ndani, Pindi Chana aingie Sheria na katiba(naibu Kairuki).
asante kwa leo!
Ndugu zangu TISS acheni kufanya mambo kisiasa.Sasa fuateni principles.Naona sasa mumebadilika sana! big up!
NOTE WELL:Pendekezo langu jipya ni kwamba: JK aangalie pia uwezekano wa kupata Prime Minister mwingine ambaye ni proactive na ana creative stratergies, awe mtu wa kutoa maamuzi ktk muda mwafaka, siyo kusubiri mpaka mambo yanaharibika. Pia awe kijana kuliko JK mwenyewe ili aweze kuwajibika kivitendo na siyo kimaneno tuu. Watu hawali maneno au majibu mazuri.Kuna personalities kama akina Pindi Chana, January Makamba, Nahodha, nk. Ni vizuri JK akamaliza uongozi wake na PM kijana na mchapa kazi. Otherwise I have a firm support to JK. God bless him!
Kuna wizara 28. Je ungependa wizara zipi zifutwe na kwanini?
Zibaki hizi nyingine zifutwe:
1.Miundombinu(barabara,viwanda,umeme)
2.Wizara ya mali asili(iingizwe utalii,kilimo,maji,madini,misitu na v2 vinavyofana na hvyo)
3.Wizara ya Fedha na Uchumi(kazi,uchumi etc)
4.Wizara ya afya(ustawi wa jamii,afya yenyew,etc)
5.Wizara ya Elimu(ya juu,elimu kati etc)
6.wizara ya michezo na utamaduni
7.Wizara Mtambuko(makolokolo ambayo hayana wizr na yanaingiliana na wzr nyingn indirect)
Baaaaaaasiiiiiiiiiii.
What do you think? Yes this is a thread,problem of you,is that;whenever someone starts the thread which touches interest of magamba you tend to ignore it.For me this is a constructive thread,because for many years Tanzanians are complaining about larger number of ministries and ministers which it has implications in term of cost of running these ministries.

Lugha ya Taifa ingenisaidia hata mimi kuelewa. Labda sijui vizuri kiingereza mkuu ila neno which linapoongozana na it linanipa tabu sana kuelewa.
To do you do you and then you tell the teacher to punish me without because.
What do you think? Yes this is a thread,problem of you,is that;whenever someone starts the thread which touches interest of magamba you tend to ignore it.For me this is a constructive thread,because for many years Tanzanians are complaining about larger number of ministries and ministers which it has implications in term of cost of running these ministries.
NOTE WELL:Pendekezo langu jipya ni kwamba: JK aangalie pia uwezekano wa kupata Prime Minister mwingine ambaye ni proactive na ana creative stratergies, awe mtu wa kutoa maamuzi ktk muda mwafaka, siyo kusubiri mpaka mambo yanaharibika. Pia awe kijana kuliko JK mwenyewe ili aweze kuwajibika kivitendo na siyo kimaneno tuu. Watu hawali maneno au majibu mazuri.Kuna personalities kama akina Pindi Chana, January Makamba, Nahodha, nk. Ni vizuri JK akamaliza uongozi wake na PM kijana na mchapa kazi. Otherwise I have a firm support to JK. God bless him!
Kuna wizara 28. Je ungependa wizara zipi zifutwe na kwanini?
Mkuu Nzi mimi siyo kwamba nakubaliana na hayo matakwa ya wakubwa. Muwe mnasoma between lines angalia nimeandika WAKUBWA na si wakubwa. Kuandika neno kwa herufi kubwa ambapo lilitakiwa liwe herufi ndogo basi linakuwa na ujumbe tofauti. Pamoja na hayo mkuu nilikuwa nataka kuonyesha jinsi serikali zetu zinavyoendeshwa na WAKUBWA.
Halafu jamaa ndio ka graduate mwaka jana, nikwambie toka chuo gani?
Dah! Jamaa kavunja. Kaandika English kwa kiswahili
To do you do you and then you tell the teacher to punish me without because.
It is better to lose your eyes than to lose your heart..
Halafu jifunze matumizi ya haya maneno WHICH na IT.
Jikite kwenye lugha yako ya taifa mkuu hii lugha ilikuja na meli.
Mkuu ungeachana na hii lugha. Huwa naziheshimu post zako za kiswahili lakini hizi za kizungu inakuwa kaaaaazi kwelikweli! Angalia matumizi ya advice na advise! Umeenda chaka, rudi kwenye lugha yetu mwanana mzee. Unatumia zaidi sisisi katika kuandika kiingereza toka kiswahili.Thanx for your observation,I appreciate very much...then I would like to advice you that;is better to discuss issue which the founder of this thread wants us to do/discuss.Kiingereza changu kibovu akitawasaidia,sana sana mtapata taabu.I advice you again,we need to discuss issues and not otherwise.Full stop!!