Je ungekuwa wewe Mbunge Ungeuliza swali gani bungeni..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ungekuwa wewe Mbunge Ungeuliza swali gani bungeni.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by logbes, Jul 19, 2011.

 1. logbes

  logbes Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je wewe ungekuwa Mbunge Ungeuliza swali gani bungeni ili kuwasaidia wabunge wanaolala wawe wanachota maujuzi hapa JF?
  swali liwe kwenye wizara yeyote au moja kwa moja kwa waziri mkuu maana naamini mawaziri na wabunge wengi hupita hapa JF kuangalia Great Thinkers wansemaje. Naamini pia hata Speaker wao atayapenda maswali yetu.  Jimwage mwaaaaaaa...........na swali lako.
   
Loading...