Je Ungekua Ww Ungefanyaje?

kikafu

Member
Feb 12, 2008
13
0
Dada mmoja alikua na mchumba wake ambaye walipendana sana walikaa ktk maisha ya uchumba kwa kipind kirefu bila ya kuvunja amri ya 6,lakin mtaani kulikua na fununu kua jamaa si rizik,ila yule dada alikataa na kusema ya kua hayo maneno c ya kwel bali wanamzulia,bahat nzur ndoa inafungwa ck zinaenda msela anatoa sababu nyingi za kushindwa kushirik dinner ya uck,inafikia hatua msela anampa ukwel mke wake na kua anaye bwana ambaye ndo anampa vitu vyote vizur walivyo navyo na kama vip yupo tayar mshikaji kuwashughulikia wote pindi wakiwa na mahitaji hayo muhimu,msela atakuja home na jamaa atampisha,ila yy msela atakua anaenda nje ili asimuuz mke wake atakapo kua anaitaji kuhudumiwa.
Je ingekua ww ungefanyaje?
 
Ulimwengu umepasuka wapi?
 
Hebu fafanua ningekuwa mimi ndo Msela au ningekuwa mimi ndo mwanamke? Au ningekuwa mimi ndo jamaa anaemchambua mwenzake? kuwa wazi kidogo!!
 
Nifanye nini?, kama ningekua mimi ningwekeana masharti nae ili tu nijiumbue wala nisimuumbue kwani yeye alivyonivumilia miaka yote si mjinga ni kwamba alikua na tatizo na kitendo cha mimi kumvumilia pia kimemfariji na kuniona ni mkombozi wake ambae naweza kumsitiri kwa tatizo alilonalo.

Kama alivyosema na kuniruhusu kwenda chobingo nitakwenda kwa siri na kwa makubaliano tuliowekeana ili tu tutunziane heshima na kulindana kwa "shuzi" lililotukabili ili siku ziende.

Kwani nina imani nikimwacha nitamchanganya sana na vile vile hatakua na amani akidhani kua lazima nitamtolea siri au kumuumbua kwa watu,pia nadhani ataniheshimu sana ili kumlindia heshima na mimi naahidi kumuheshimu siwedhi kumfrastuate kwa lolote kwani yeye ni binadamu kama wengine ila akijaribu kunikera tu "atajuta".
 
yaan nakusudia demu ambaye ameolewa na huyo msela ambaye c rizik
 
hayo mawazo yako yanaonesha ni kwa kias gan una moyo ila ndg yangu mume wako na awe kama deme heshima itakuwepo kwel?
mawazo yangu mm wangetalikiana maana ni aibu kwa wote na ktindo cha laana
 
Dada mmoja alikua na mchumba wake ambaye walipendana sana walikaa ktk maisha ya uchumba kwa kipind kirefu bila ya kuvunja amri ya 6,lakin mtaani kulikua na fununu kua jamaa si rizik,ila yule dada alikataa na kusema ya kua hayo maneno c ya kwel bali wanamzulia,bahat nzur ndoa inafungwa ck zinaenda msela anatoa sababu nyingi za kushindwa kushirik dinner ya uck,inafikia hatua msela anampa ukwel mke wake na kua anaye bwana ambaye ndo anampa vitu vyote vizur walivyo navyo na kama vip yupo tayar mshikaji kuwashughulikia wote pindi wakiwa na mahitaji hayo muhimu,msela atakuja home na jamaa atampisha,ila yy msela atakua anaenda nje ili asimuuz mke wake atakapo kua anaitaji kuhudumiwa.
Je ingekua ww ungefanyaje?

uyo jamaa hakustahili kuoa kwasababu madhumunu ya ndoa ni kuwa na familia yenye kujiheshimu na kuheshimika na jamii, na haijaandikwa mahali kuwa ni lazia mtu kuoa, sasa kama wamekubaliana kuwa mama akipatwana hamu aende nje kimaficho ina maana gani apa! yaani jamaakakusudia kuolea watu?
embu naomba mnielimishe wana JF kuna uhusiano wowote kati ya uhanithi na ushoga? na uyo jamaa wakufikirika ana cheo gani kati ya hivyo?
 
c unajua kn watu wengine mashoga halaf wanajifanya rijal?
na huyo msela kamwambia mke wake, yy (mume) akiwa na hamu ndo ataenda nje ila mkewe jamaa atakuja hapo home na jamaa atakaa sebuleni, mm naoana kamuolea mtu,ila ila swal lingine nawaachia JF kwa msaada zaid.
 
(Adultery)Uzinifu ni dhambi. Kama mimi ni mwanamke ningerudisha vitu vyote vya bure. Ningemuomba mumewangu aende hospitali kutibiwa na akikataa namuacha. Bora nife maskini kuliko kudhalilika au kwenda kinyume na amri za mungu.
 
ww nugu yangu umenipa jibu zur na lenye mafunzo naamini kwa wote wenye kuijtambua,thankx
 
(Adultery)Uzinifu ni dhambi. Kama mimi ni mwanamke ningerudisha vitu vyote vya bure. Ningemuomba mumewangu aende hospitali kutibiwa na akikataa namuacha. Bora nife maskini kuliko kudhalilika au kwenda kinyume na amri za mungu.

ww ndugu yangu umenipa jibu zur na lenye mafunzo naamini kwa wote wenye kujijtambua,thankx
 
Mpaka pale jamii itakapoacha kuwanyanyapaa watu wenye hali mbalimbali ambazo jamii inaamini si kamilifu, ndipo tutaweza kujibu swali hili vizuri. Km watu "kamili" walivyo hao ambao si rijali wana mahitaji yao na ndio maana huyu alihitaji mtu wa kumshughulikia. Lakini kwa vile anazungukwa na jamii ambayo inaamini anahitaji kuoa akafanya hivyo si kwa ajili yake..bali kuiridhisha jamii.Ask yourself the same question...deep down your heart...ingekuwa wewe ndie huyo jamaa ungefanyaje?
 
Dada mmoja alikua na mchumba wake ambaye walipendana sana walikaa ktk maisha ya uchumba kwa kipind kirefu bila ya kuvunja amri ya 6,lakin mtaani kulikua na fununu kua jamaa si rizik,ila yule dada alikataa na kusema ya kua hayo maneno c ya kwel bali wanamzulia,bahat nzur ndoa inafungwa ck zinaenda msela anatoa sababu nyingi za kushindwa kushirik dinner ya uck,inafikia hatua msela anampa ukwel mke wake na kua anaye bwana ambaye ndo anampa vitu vyote vizur walivyo navyo na kama vip yupo tayar mshikaji kuwashughulikia wote pindi wakiwa na mahitaji hayo muhimu,msela atakuja home na jamaa atampisha,ila yy msela atakua anaenda nje ili asimuuz mke wake atakapo kua anaitaji kuhudumiwa.
Je ingekua ww ungefanyaje?

In ideal world i trust that such things can not be tolerated.

Speaking of practical world najua kuna mambo mengi sana hapa ikiwa ni pamoja na umaskini. Mwanamke ambae ni materalist naamini ataingia mkenge na atakubali ili tu aendelee kula mali na kuishi vizuri ila it wont take long cos as usual kuna wakati atahitaji huduma na ikawa huyu jamaa(shoga) hawezi kumtimizia na hivyo basi kutakuwa na aina flani ya dharau.
Kwa ushauri mimi nafikiri huyo mwanamke ana haki zote za kumuacha huyo jamaa kwa sababu hilo tendo la ushoga hata ktk mila na tamaduni zetu halikubaliki na licha ya hivyo hata kwenye vitabu vya imani napo wanapinga vikali hii tabia. Sidhani kama kuna mwanamke yuko tayari kufanya kitu kama hiki ati kulinda heshima.... ni bora tu aachane nae na arudi kwao kwani ni wazi kwamba hakufukuzwa wala kushinikizwa kuolewa na atakapopata mtu wa maana (sio shoga) ataolewa ili wapate matunda ya ndoa na baraka tele!!!
 
Mpaka pale jamii itakapoacha kuwanyanyapaa watu wenye hali mbalimbali ambazo jamii inaamini si kamilifu, ndipo tutaweza kujibu swali hili vizuri. Km watu "kamili" walivyo hao ambao si rijali wana mahitaji yao na ndio maana huyu alihitaji mtu wa kumshughulikia. Lakini kwa vile anazungukwa na jamii ambayo inaamini anahitaji kuoa akafanya hivyo si kwa ajili yake..bali kuiridhisha jamii.Ask yourself the same question...deep down your heart...ingekuwa wewe ndie huyo jamaa ungefanyaje?

Mkuu,
Sidhani kama jamii inatakiwa kuwakubali hawa watu......Ebu pitia hii habari afu ucomment kama inastahili?

Homosexuality and the Truth
Is It Natural and Normal?
by Alan P. Medinger

Society has two views of homosexuality. The traditional view holds that homosexuality is an aberration, the orientation is a disorder, and the behavior is pathological. The opposing view is that homosexuality is a normal variant in the human condition that is determined before birth and that homosexual behavior is natural for those so oriented.

The gay community has been tremendously successful in gaining acceptance for the second view. This view, however, rests on a number of questionable premises, which if false, lead us back to the traditional view. In the following article we will continue to examine the premises put forth by those accepting homosexuality as “normal.”
“Homosexuality is simply a normal variation in the human condition. It occurs in every culture, in every age, and although a majority are heterosexual, just as some people are left handed, a minority is homosexual in their orientation.”
Is this assertion true, or is homosexuality a disorder, a sign that something has gone wrong in an individual’s development? Is homosexuality something that is inevitable for a certain percentage of the world’s population, and therefore should simply be accepted, or is it a distortion or dysfunction that should be resisted, and if possible, cured?

As with the question regarding homosexuality being prenatally determined, the burden of proof should be with those who say it is normal and natural. I say this because the only hard evidence that we have—the biological evidence—clearly indicates that it is a disorder, in that homosexuality represents a tendency to want to use body parts for some purpose other than that for which they were designed. The penis and vagina are certainly constructed for male-female intercourse. Their complimentary shapes, the location of highly sensitive nerve endings show, without a doubt, the Divine intent.

Regardless of where you stand on the pleasure-relational aspects of sexuality, man and woman’s sexuality is inextricably associated with reproduction, and two men or two women cannot reproduce. Therefore, homosexuality is a condition that, in a fundamental way, is contrary to nature. Biologically, it is simply not natural or normal.

The advocates of acceptance of homosexuality, however, have put forth a great effort to convince the world that homosexuality is in fact both natural and normal, that it is simply different, and that only because it is the orientation of a minority, do we classify it as a disorder or perversion. They have been quite successful in this effort.

When we talk about what is normal, we are talking about what is in accordance with the norm; what is common. When we talk about what is natural, we are talking about what is in accordance with nature. Most arguments favoring homosexuality as normal and natural, therefore, are aimed at creating an impression that homosexuality is extremely widespread, that it occurs everywhere in nature. Furthermore, human sexuality is viewed as an extremely fluid thing in which all sorts of variations are just going to happen.

If you listen to gay advocacy groups, over and over again, you will hear these arguments used. There isn’t space here to fully refute this whole approach, but I ask you to consider what is really being said, and what evidence is really being offered. We will look at two of the most common statements made by advocacy groups.

1. Ten percent of the world is gay. I have heard this expressed with tremendous certainty, as when one gay activist said, “Don’t forget, one child in every ten born in the world, in all countries, in all ages is a homosexual.” The 10 percent statistic has been used so much that it is often simply assumed to be true in newspaper and magazine articles and by much of the public.

Where did the 10 percent figure come from? As far as we can tell it is a misinterpretation of the first Kinsey Report (Sexual Behavior in the Human Male l) in which it was stated that “10% of the males are more or less exclusively homosexual for at least three years between the ages of 16 and 55.” There are several problems here. Apart from the many legitimate concerns about Kinsey’s statistical methods and the fact that the study covered only U.S. males, Kinsey, on the same page states that, “4% of the white males are exclusively homosexual throughout their lives after adolescence.”

Those who first quoted the 10% figure from Kinsey were obviously consciously trying to mislead. Others later have used the figures innocently. In fact, we don’t know what percentage of ours or any other culture is homosexually oriented. Before Kinsey, the estimates, coming primarily out of England, Germany and the U.S. were between 2 and 5%. Later, more objective estimates in the United States project a maximum incidence of 5% among males and less among females.

The bottom line, however, is that whether it is 5% or 10% does not matter. Figures tend to be exaggerated by many homophiles because they believe that in numbers there is legitimacy. Not so. A significant number of people are criminally inclined, but that does not mean that they are not somehow distorted in their orientation.

2. Homosexuality occurs in all cultures and has been accepted in many. This usually is accompanied by the statement or implication that Judeo-Christian culture just happens to be hard on homosexuals. Obviously, we can’t review culture by culture here, but let me suggest that you look carefully at the examples given of homosexuality in other cultures. Invariably, they involve either pederasty (sex by men with boys) or, in rare instances, a limited period of approved homosexual behavior during adolescence.

Certainly, homosexual behavior could have occurred in all cultures to varying degrees, but that says nothing about it being normal or natural. In fact, most cultures, including the Greek, up until its final years, classified homosexuality as a crime deserving the severest of penalties.

There is evidence that homosexual behavior occurs far less frequently in some cultures than it does in the West. Obviously, differing cultures would evidence differing degrees of secrecy regarding sexual behavior and there have been no widely-accepted surveys of homosexuality in non-Western countries, so hard evidence is almost impossible to come by. Anecdotal evidence is available however.

Theologian and psychiatrist Ruth Tiffany Barnhouse quotes an incident in which an American mentioned homosexuality to a group of doctors at the Canton Hospital in the People’s Republic of China, and only one member of the medical staff understood what homosexuality was.2 I asked two missionaries to Africa about homosexuality on that continent, and both related that they had been told that it was unknown until the Westerners arrived. Anecdotes don’t provide certainty, but in the absence of hard numbers, ask people from Asia and Africa this yourself.

Copyright © Alan P. Medinger. All rights reserved.

I still don't think its appropriate huyo jamaa kumtumia binti wa watu kama kinga ya kuuficha uso na aibu yake!!
 
Dada mmoja alikua na mchumba wake ambaye walipendana sana walikaa ktk maisha ya uchumba kwa kipind kirefu bila ya kuvunja amri ya 6,lakin mtaani kulikua na fununu kua jamaa si rizik,ila yule dada alikataa na kusema ya kua hayo maneno c ya kwel bali wanamzulia,bahat nzur ndoa inafungwa ck zinaenda msela anatoa sababu nyingi za kushindwa kushirik dinner ya uck,inafikia hatua msela anampa ukwel mke wake na kua anaye bwana ambaye ndo anampa vitu vyote vizur walivyo navyo na kama vip yupo tayar mshikaji kuwashughulikia wote pindi wakiwa na mahitaji hayo muhimu,msela atakuja home na jamaa atampisha,ila yy msela atakua anaenda nje ili asimuuz mke wake atakapo kua anaitaji kuhudumiwa.
Je ingekua ww ungefanyaje?
duh! wanawake wanakutana na vitu vya ajabu kweli, sijui siri ngapi wamezificha kwney vichwa vyao
 
kwa demu bora akatafute mume mwengine, maana wamejaa kibao.. hata dini hairyhusu mambo hayo!!! afu namshangaa uyo jamaa kumuoa binti wakati hamuwezi...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom