Je, Ungefanyeje kwa siku ya leo?

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Je, leo hii ikitokea ukaambiwa una nafasi ya kurejesha bikira yako ya asili ili ipate kutolewa na mtu fulani badala ya yule aliyeitoa, utafanyaje? Utakubali itolewe na yuleyule, lakini katika siku nyingine? Ungerejesha na kumpelekea mwingine aitoe? Au ungehifadhi daima? Au ingetolewa siku ileile, lakini na mtu mwingine?
Nawasilisha....!
 
mimi pia sitaki,napenda hivi nilivyo bikira maana alienitoa ndo kanioa so kutakua hamna jipya maana hata ingerudishwa ningependa itolewe na huyuhuyu nilienae
 
mimi pia sitaki,napenda hivi nilivyo bikira maana alienitoa ndo kanioa so kutakua hamna jipya maana hata ingerudishwa ningependa itolewe na huyuhuyu nilienae

pole sana huenda unayoyajua sasa ni theluthi ya yaliyoko nje! mmoja tu! duuuuH
 
ni mmoja lakini nadhani najua mengi zaidi ya wewe ulietembea na hao hamsini maana amekamilika idara zote

how can you tell! we unakunywa kila siku juisi ya embe halafu unasema unazijua juisi zote kwa sababu ya embe imekamilika....!!!!:boink:
 
Back
Top Bottom