Je ungefanyaje????

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
[h=3]Je ungefanyaje????
[/h]Habari yako rafiki mpendwa; japo hunifahamu ana kwa ana napenda nikushirikishe katika hili....
[h=3]Je ungefanyaje kama ungejua kwamba muda huu kuna mtu anapewa nusu ya malipo kwa kazi ya kukutoa uhai wako leo hii?[/h] [h=3]Je ungefanyaje kama ungejua kuna mtu yupo kwa wachawi akikufanyia uchawi ili kukusambaratisha?[/h] [h=3]Je ungefanyaje kama ungejua muda huu kuna mtu hapo ofisini kwako anaiba nyaraka zako muhimu ili ufukuzwe kazi?[/h] [h=3]Je ungefanyaje kama ungejua kuna mtu muda huu anatengeneza ujumbe wa uongo ili kuvuruga ndoa yako?[/h] [h=3]Je ungefanyaje kama ungejua kwamba muda huu kuna mtu anapanga kumteka mtoto wako ili wakudai pesa?[/h] [h=3]Je ungefanyaje kama ungejua kwamba rafiki yako wa karibu yupo busy sana kushirikiana na wabaya wako kutaka kukuangamiza?[/h] [h=3]Je ungefanyaje iwapo ungejua kuwa jirani yako amepanga kuchoma moto nyumba yako usiku wa leo?[/h] [h=3]Je ungefanyaje iwapo ungejua kama kuna mpango unapangwa ili kusababisha ufukuzwe chuoni?
[/h] [h=3]Pamoja na hayo yote, Mungu amesimamisha malaika wake ili wakulinde na kukupigania kwa kila baya litakaloinuka juu yako katika maisha yako. Tusichoke kumuomba na kumshukuru Mungu kwa maana hatujui ni mambo mangapi mabaya anatuepusha nayo kila siku ya maisha yetu.[/h] [h=3]Nawatakieni mwanzo mwema wa mwezi December 2013 tukiungojea mwaka ujao. [/h]
 
Yote hayo hayanishughulishi maana yupo niliyemkabidhi maisha yangu,hakuna linalokuwa katika hayo yote ila yeye aseme "Kuwa".
Ukimkabidhi Mungu maisha yako unakuwa na amani ya kutosha maana unashuhudia akitenda kila iitwapo leo,hata sasa anatenda na kikubwa ninachomrudishia ni shukrani na kuenenda katika yale aliyoyaamrisha.
 
Nitayainua macho yangu, nitazame milima; msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika Bwana aliyezifanya Mbingu na Nchi.
 
Yote hayo hayanishughulishi maana yupo niliyemkabidhi maisha yangu,hakuna linalokuwa katika hayo yote ila yeye aseme "Kuwa".
Ukimkabidhi Mungu maisha yako unakuwa na amani ya kutosha maana unashuhudia akitenda kila iitwapo leo,hata sasa anatenda na kikubwa ninachomrudishia ni shukrani na kuenenda katika yale aliyoyaamrisha.

Ubarikiwe kwa kulitambua hillo.
 
Je ungefanyaje????

Habari yako rafiki mpendwa; japo hunifahamu ana kwa ana napenda nikushirikishe katika hili....
Je ungefanyaje kama ungejua kwamba muda huu kuna mtu anapewa nusu ya malipo kwa kazi ya kukutoa uhai wako leo hii?

Je ungefanyaje kama ungejua kuna mtu yupo kwa wachawi akikufanyia uchawi ili kukusambaratisha?

Je ungefanyaje kama ungejua muda huu kuna mtu hapo ofisini kwako anaiba nyaraka zako muhimu ili ufukuzwe kazi?

Je ungefanyaje kama ungejua kuna mtu muda huu anatengeneza ujumbe wa uongo ili kuvuruga ndoa yako?

Je ungefanyaje kama ungejua kwamba muda huu kuna mtu anapanga kumteka mtoto wako ili wakudai pesa?

Je ungefanyaje kama ungejua kwamba rafiki yako wa karibu yupo busy sana kushirikiana na wabaya wako kutaka kukuangamiza?

Je ungefanyaje iwapo ungejua kuwa jirani yako amepanga kuchoma moto nyumba yako usiku wa leo?

Je ungefanyaje iwapo ungejua kama kuna mpango unapangwa ili kusababisha ufukuzwe chuoni?

Pamoja na hayo yote, Mungu amesimamisha malaika wake ili wakulinde na kukupigania kwa kila baya litakaloinuka juu yako katika maisha yako. Tusichoke kumuomba na kumshukuru Mungu kwa maana hatujui ni mambo mangapi mabaya anatuepusha nayo kila siku ya maisha yetu.

Nawatakieni mwanzo mwema wa mwezi December 2013 tukiungojea mwaka ujao.

Pamoja na kumuomba mungu
mimi watu wa kunifukuzisha kazi hawanisumbui kabisa
wala wachawi...

nimesharogwa mno by now na nimeshindikana
 
Nitamfanya BWANA kuwa kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini. Mabaya hayatanipata kwakua ataniagizia malaika zake wanilinde katika njia zangu zote.
 
Pamoja na kumuomba mungu
mimi watu wa kunifukuzisha kazi hawanisumbui kabisa
wala wachawi...

nimesharogwa mno by now na nimeshindikana

Hapo kwenye bold - nimecheka sana kaka; kurogwa tena!!? Pole ila Mungu aendelee kukusimamia.
 
..maana Mungu ataagiza malaika wake wakulinde popote uendapo zab 91:11
barikiwa mpendwa!
 
yaani ningemsamehe bure kabisa 7x70 kwani hajui alitendalo
Je ungefanyaje????

Habari yako rafiki mpendwa; japo hunifahamu ana kwa ana napenda nikushirikishe katika hili....
Je ungefanyaje kama ungejua kwamba muda huu kuna mtu anapewa nusu ya malipo kwa kazi ya kukutoa uhai wako leo hii?

Je ungefanyaje kama ungejua kuna mtu yupo kwa wachawi akikufanyia uchawi ili kukusambaratisha?

Je ungefanyaje kama ungejua muda huu kuna mtu hapo ofisini kwako anaiba nyaraka zako muhimu ili ufukuzwe kazi?

Je ungefanyaje kama ungejua kuna mtu muda huu anatengeneza ujumbe wa uongo ili kuvuruga ndoa yako?

Je ungefanyaje kama ungejua kwamba muda huu kuna mtu anapanga kumteka mtoto wako ili wakudai pesa?

Je ungefanyaje kama ungejua kwamba rafiki yako wa karibu yupo busy sana kushirikiana na wabaya wako kutaka kukuangamiza?

Je ungefanyaje iwapo ungejua kuwa jirani yako amepanga kuchoma moto nyumba yako usiku wa leo?

Je ungefanyaje iwapo ungejua kama kuna mpango unapangwa ili kusababisha ufukuzwe chuoni?

Pamoja na hayo yote, Mungu amesimamisha malaika wake ili wakulinde na kukupigania kwa kila baya litakaloinuka juu yako katika maisha yako. Tusichoke kumuomba na kumshukuru Mungu kwa maana hatujui ni mambo mangapi mabaya anatuepusha nayo kila siku ya maisha yetu.

Nawatakieni mwanzo mwema wa mwezi December 2013 tukiungojea mwaka ujao.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom