Je, unazifahamu dalili za hatari kwa Watoto Njiti?

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
DALILI ZA HATARI KWA MTOTO NJITI

Dalili zifuatazo ni za hatari kwa mtoto njiti na zinahitaji kuchukua hatua mara moja. Kama mtoto yuko kwenye hospitali ambayo haina vifaa na wataalam basi mtoto apelekwe mara moja kwenye huduma stahiki

i/joto la mwili kushuka(hypothermia) ama joto la mwili kupanda(hyperthermia)
II/Tumbo kujaaa(distended abdomen)
Iii/mtoto kuvuja damu( bleeding) na kuwa na njano katika viganja vya mikono na miguu(neonatal jaundice)
IV/mapigo ya moyo kuwa chini ama juu kuliko ilivyo kawaida,msukumo wa damu (blood pressure) kuwa chini(high blood pressure)/juu(high blood pressure) kuliko kawaida
v/mtoto kulegea/ ama kukataa/kushindwa kula(, Lethargy& refusal to feed)
vi/mtoto kutetema(Seizures)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom