Prosper C Manasse
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 635
- 690
Unaomba Ushinde Bahati Nasibu Wakati Hununui Tiketi.
*Kulikuwa Na Kijana Mmoja Wa Kitanzania Ambaye Kwa Jina Ally, Alikuwa Akimwomba Sana Mungu Ili Afanikiwe Ktk Maisha Yake.
*Kwa Bahati Mbaya Yeye Hakuwa Mmoja Kati Ya Wanafunzi Kadhaa Walochaguliwa Kuendelea Na Elimu Ya Juu.
*Ndoto Yake Ya Kusoma Iliishia Hapo Ndipo Alipoamua Kurudisha Mpira Kwa Kipa Kwa Maana Ya Kurudi Nyumbani Ajiandae Upya Na Maisha.
*Baadhi Yao Waliingia Kwenye Ujasiriamali Na Wengine Kuingia Kwenye Ufundi Mbalimbali Ikiwemo Magari, Pikipiki, Washi Na Mwingineo.
*Baada Ya Miaka Mi5 Ally Aliona Maisha Ya Wenzake Alomalizanao Form6 Yakienda Vizuri Isipokuwa Yeye Tu. Hili Alilithibitisha Baada Ya Kuwatembelea Marafiki Zake Ktk Mikoa, Wilaya Na Vijiji Jirani.
*Ally Aliporudia Nyumbani Alipiga Magoti Akimwomba Mungu Huku Akisema.
"Eeh Mungu Mbona Umeniacha?!"
"Tangu Naosoma Nimekuwa Mtu Wakukuomba Sana Lakn Sifikii Mafanikio Yangu Kama Wenzangu"
"Mwangalie Peter, Yeye Ni Mlevi Lakn Anajitegemea Sasa Na Ameoa"
"Mwangalie Rashidi, Yeye Ni Mwasherati Lakn Leo Kajenga Nyumba Nzuri Tu Wakat Elimu Tunalingana"
Akaendelea Kuomba Kwa Namna Hiyo.
*Alipomaliza Tu Kusali Wakatokea Malaika Wa5 Na Kumwambia "Kwanini Unamdhihaki Mungu Kwa Kumwomba Huku Unajifananisha Na Wengine?!".
Ally Alitetemeka Sana Na Kuomba Msamaha Huku Jasho Likimtoka.
*Malaika Wakatoa Karatasi Yenye List Ya Matajiri Tarajiwa Wa Kijiji Hicho Ambapo Ally Alikuwa Ni Mmoja Kati Yao.
*Ally Akaambiwa Maombi Yako Yote Yapo Kwenye Meza Ya Mungu Na Yameshapitishwa Lakn Tatzo Lipo Kwako Ndugu.
"Ally Akauliza Nini Tatzo Langu Ikiwa Nakesha Kumwomba Mungu?!"
*Malaika Wakamwambia, Sisi Tupo Wa5, So Kila Mmoja Atakuchapa Viboko Vi5 Kisha Tutakwambia Nini Tatzo Lako.
*Ally Akalala Na Kuchapwa Viboko 25 Huku Akitoa Machozi, Na Walipomaliza. . . . . . Malaika Wakamwambia. . . .,
"Ally. . . . !! Siki Zote Unaomba Ushinde Bahati Nasibu Lakn Hununui Tiketi".
Wakiwa Na Maana Ya Kwamba, Siku Zote Unapanga Vyema Lakn Huna Uthubutu Kwa Ndoto Na Mipango Yako. Wewe Ni Mtu Wa Kuyakalia Mawazo Yako Bila Kuyaingiza Ktk Utendaji.
*Ally Akastushwa Na Maneno Yale Huku Akishikwa Butwaa Maana Yaloongewa Yalikuwa Ya Kweli Tupu.
SWALI NA FUNZO.
*Ndugu Yangu, Ushawahi Kumwona Mtu Anaomba Ashinde Bahati Nasibu Ya VodaCom Milionea Wakat Hata Sim Card (Line) Ya Voda Hana?!.
HITIMISHO.
*Mipango Ma Ndoto Zetu Hukamilika Baada Ya Uthubutu, Usiwe Mjinga Kama Ally Kuishia Kupanga Tu Siku Zote Mwisho Wa Siku Utamlaumu Mungu Kumbe Tatzo Lipo Kwako.
*Je Mimi Nawe Ni Mfano Wa Ally?!.
MUNGU AKUTIE NGUVU UPANGE NA UTHUBUTU PIA.