Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

Hakuna mtz asiyempigaji trust me. Hata umwajili dada yako. Njia pekee ni kupandikiza mashushushu na hakikisha unamtrain vizuri na umweke kwenye safe category incase anything happens. Na umlipe bonus kwa kazi hio. Utakuwa unapewa info kabla jambo halijatokea then unachukua hatua.

Mimi niliambiwa nyanya zote zimeungua na ukungu wakati mwezi ujao mtu niliyeingia nae ubia anatarajia kuvuna.
Nikasubiri ametafuta mteja, ametafuta watu wa kuvuna, na wamekubaliana siku ya kuvuna. Nikatimba huko huko hahahah hakuamini.
From there nikachukua mgao wangu nikasepa. Simple as that.
Aaah, unanikumbusha jamaa yangu alikuwa na Guest, baada ya kuibiwa sana akabuni mbinu ya kuwa na mpambe wa siri.

Alichofanya alikuwa anatembea na moja wa wahudumu na hivyo kupata info zote. Meneja akabaki na mshahara wake mkubwa lakini akakosa uhuru wa kuiba.
 
Back
Top Bottom