Je unaweza kuzuia post isiyofaa kuonekana kwenye account ya mtu Instagram ?

luqman luqman

JF-Expert Member
Jun 14, 2014
839
1,363
Habari wakuu..?
Kuna mtu ame post picha katika account yake ya instagram na mimi nikiwa miongoni mwa watu katika hiyo picha bila hiari yangu.
Nimejaribu kuongea nae kwa ustaarabu lakini bado anazungusha kuitoa leo ikiwa ni siku ya tatu sasa.
Nimefanya option ya ku report ile picha kwenye instagram ila imepotea tu kwangu lakini nikiangalia kwa account nyingine bado inaonekana.
Je, kuna namna nyingine naweza kufanya picha hiyo isionekane kwenye public?
Na pia sheria ikoje, naweza kumshtaki huyo mtu kwa kosa la matumizi mabaya ya mtandao??
IMG_8907.JPG
 
Kama ulikua hutaki kupostiwa kwann ulipiga nae?

sema hiyo acc ya mtuhumiwa ili tukusaidie kuireport hiyo post
 
Back
Top Bottom