Je, unaweza kuswap (kubadilishana simu na mpenzi wako) kwa siku ngapi?

Expert911

JF-Expert Member
Jul 12, 2021
695
1,232
Habari wana MMU!

Eeh bwana uaminifu umekuwa wa kusaka kwa manati hasa kwa vijana walioko kwenye uhusiano wa kimapenzi na hii imekuwa ikichangiwa na simu za mkononi kama chombo cha mawasiliano. Simu zimekuwa zikijenga na kuharibu wa mahusiano ya watu kwa asilimia kubwa sana. Wanamke wanaamin kushika simu ya mwanaume ni chanzo cha mahusiano kuvunjika.

Baby naomba simu yako = ya nini si na wewe unayako. Unaweza nisaidia simu yako nikopi namba= nitajie tu niikariri.

Lakini kuna wapenzi wanaamini hadi kubadilishana simu zao, ukipiga kwa mwanaume anapokea mke au girlfriend wake, ukipiga kwa mwanamke anapokea mme au boyfriend wake.

JE WEWE NA MWENZI WAKO MNAWEZA BADILISHANA SIMU KAMA KIGEZO CHA UAMINIFU?
 
Siku nikipata demu wa kihindi nitajaribu
 
Why !???

Hii inaitwa Personal Mobile Phone sio Community Phone au landline

Sio kwa privacy yako tu hata kwa wanaopiga mtu anapiga aongee na wewe sio na mke wako, au anatuma sms kwa macho yako sio ya kadamnasi
 
Habari wana MMU!

Eeh bwana uaminifu umekuwa wa kusaka kwa manati hasa kwa vijana walioko kwenye uhusiano wa kimapenzi na hii imekuwa ikichangiwa na simu za mkononi kama chombo cha mawasiliano. Simu zimekuwa zikijenga na kuharibu wa mahusiano ya watu kwa asilimia kubwa sana. Wanamke wanaamin kushika
Mi nishabadirishana nae hapa, ila nampango wa kumrudishia mda sio mrefu. Naona kama kisukari kimenipanda
 
Ukitaka upate unachokitaka kwny simu we shitukiza ila ile ushasema mkutane had afike kashafuta na mchepuko ushambiwa usipige au na kazi so mda wote ukiwa nae haingii meseji tata...

We shitukiza tui vuup nipe simu uine ka utapewa
 
Miongoni mwa makosa ni kuchanganya usafi wa simu na uaminifu. Mtu anakuachia hapo simu unashinda nayo, anafanya mambo yake anakukuta unajipongeza kwamba umeachiwa simu na mwenza mwaminifu.

Suala la uaminifu ni la mtu binafsi na maamuzi binafsi. Mwingine ukishika simu yake unawezampeleka The Hague, kumbe masikini hana makandokando yoyote kiuhalisia. Mwingine ukiipitia simu yake unamkatia tkt aende Vatican kukamata kitengo ila subiria matukio yake sasa.
 
Back
Top Bottom