Sisi ni binadamu sio malaika hatujakamilika kugombana ni kawaida mkuu..Would you Fight for Girlfriend or Boyfriend...??
Kama jibu ni ndiyo/hapana tueleze ni kwanini?
Hapo sasa .. Fedheha hizo nani anazitaka sasaWalipigana miaka ya nyuma kwa kutokujua mioyo ya wanaume ikoje, ila kwa miaka ya sasa hakuna hata cha kufanya kupigana kwa sababu wanaopenda kutoka moyoni ni wa kuhesabu wengi waigizaji.
Hivyo unaweza kupigana mwisho wa siku unachanwa live kwamba hupendwi anampenda uliyempiga.