Je, unaweza kupigana kwa ajili ya mpenzi wako? Kwanini?

Never na wala sijawahi kuwaza kitu kama hicho... Nina mambo mengi sana ya kufanya muda hamsubiri mtu, huo muda wa kugombana natoa wapi kwanza???
 
HAPANA

Kwasababu cmwamini binaadam mwenzangu asilimia 100

Huyo ninayempigania siwezijua moyo wake unawaza nn kama amepanga kunisaliti baadae

Aisee siwez kama anaenda na aende tyuuu
 
Walipigana miaka ya nyuma kwa kutokujua mioyo ya wanaume ikoje, ila kwa miaka ya sasa hakuna hata cha kufanya kupigana kwa sababu wanaopenda kutoka moyoni ni wa kuhesabu wengi waigizaji.

Hivyo unaweza kupigana mwisho wa siku unachanwa live kwamba hupendwi anampenda uliyempiga.
 
Hapo sasa .. Fedheha hizo nani anazitaka sasa
 
hvi kweli bado binadamu wanapigana coz of mahaba....... ila wanawake kwa kiasi fulani wana timbili balaa..
 
Back
Top Bottom