Je, unaweza kupigana kwa ajili ya mpenzi wako? Kwanini?

Huo muda wa kupigana nautoa wapi?Nina mambo mengi ya kufanya na kutengeneza pesa,watu tunataka tuwe matajiri unahangaika na mapenzi ya kugombania huku unatembea kwa miguu? Badala uwaze hats kununua kausafir kako ujenge uwe na kwako na biashara zako,unahangaika na mahaba ,tang umeyafaham hayo mahaba kitu gan kimebadilisha maisha yako kama sio kukurusisha nyuma,Mungu Kwanzaa, pesa,mahaba is extra,huna pesa halaf unahangaika kutafuta mapenz like serious?!
 
Ninaweza Pigana
Nadhan hili swali limeeleweka kwa ufinyu sana, by the way kila mtu na mawazo na uelewa wake. Mfano nipo na gal wangu mtaani akajitokeza mtu amshike maziwa au makalio, sababu..... basi tu kajisikia hivyo na anaanza kutoa maneno ya kibabe, huyu ni halali yangu.
Na siku zote huwa ninaamini kabisa mahusiano ya kimapenzi yaliyoshibana kabla ya ndoa huwa ni good reflection baada ya ndoa though sio kila muda yaweza kuwa hivyo
 
Back
Top Bottom