Je, unaweza kupeleka Simu mbovu na fedha ili kupata simu mpya kwa Samsung?

gm man

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,179
1,453
Wakuu,

Naulizia kama Samsung wana huduma hiyo

Yaani unapeleka simu ya Samsung yenye tatizo na kiasi fulani cha fedha halafu unapewa simu nyingine

Je, Samsung wana huduma hiyo?

Kama Ipo vigezo vikoje?
 
Aisee kwanini usibadilishe mawazo uchukue hata A10/A20/A20s kwa bajeti hiyo hiyo tena kwa simu mpya?

Hiyo j7 pro ni ya kitambo na imepitwa na hizo hapo juu. Pia j7 pro utapata used kwa sasa.

From JF Ap
J7 pro ni ya zaman kweli ila sion utofaut wake na hyo A10 kwa sababu zote mbili zinatumia chipset za Exynos.zmezidiana vtu vdogo dogo tu kama vile android version, n.k
 
Aisee kwanini usibadilishe mawazo uchukue hata A10/A20/A20s kwa bajeti hiyo hiyo tena kwa simu mpya?

Hiyo j7 pro ni ya kitambo na imepitwa na hizo hapo juu. Pia j7 pro utapata used kwa sasa.

From JF App
Nielekeze duka mi nikachukue hiyo A20s
 
Hivi hizi A20s mbona kama zimepotea mapema naona online store nyingi wamekimbilia A21s au ni kwasababu za kibiashara tu!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom