Je, unaweza kupata taswira ya muuaji kwa kupiga picha macho ya aliyeuliwa?

Nami nilikua naskia hvo!
Lakini kweli ni kwamba hilo jambo halipo.
Majaribio yaliofanyika kwa wanyama yalionesha picha ya dirisha "yaani namaanisha pengine mnyama aliuwawa akitazama dirisha"
Lakini picha ya sura haikupatikana....
Hvo basi bado na hakuna ushahidi wa technology hiyo!
.
.
.
Pigeni KURA za NDIO KWA WINGI
 
Tumpe Lisu au Magu??
 
sasa kwa nini majambazi wakiua kabla ya kukimbia huwa wanawatoboa macho marehemu?
 
ooh hapo nimekupata.
Lakini ya kumshika marehemu nafikiri ndio inawezekana kutrace kwa vipimo vya DNA
AFAIK, kuna movie nimeisahau jina ni ya miaka mingi sana. Ndio ilikuja na hii kitu.
Ndio maana watu wanatoboa watu macho wakihisi kujulikana, lakini halina ukweli wowote.
 
Vipi unataka kuuwa? Elim zingine ukizitoa unaweza kujikuta unamtengeneza Assassin
 
Back
Top Bottom