Swali kuu hapa ni, je huyo ndiye aina ya Mwenza uliyekuwa unatamani kuishi naye tangu ulipoanza kuwaza maswala ya Mke/Mume?.Naona watu wanatoka nje ya swali au mimi tuu ndiyo naona.
Anyway kiukweli hata kama umri umeenda kiasi kigani huwezi kuoa mwanamke ambaye huna hisia naye hata kama umechaguliwa naamini kuna kimojawapo ktk mwili wake utavutiwa nacho na ndiyo hicho kitakufanya umpende na useme ni mwanamke wako wa maisha.
Ni uduwanzi kuoa/kuolewa na mtu ambae hakidhi matarajio yako, wengine wanasema mwenza wa ndoto yakoIngawa baadhi yetu twaweza kuleta ubishi juu ya hili lakini ni ukweli unaowakuta zaidi ya asilimia 80 kama sio 90 ya Wanandoa wamejikuta wameoana kutokana na sababu moja au nyingine, wengi ikiwa ni baada ya kuona miaka inasonga bila kupata Mwenza anayekidhi ndoto zake.
Binaadamu yeyote mwenye mipango ni lazima atakuwa na mipango ya namna anavyotamani aishi siku za usoni, miongoni mwa mipango hiyo ni kupata Mke/Mume wa aina fulani, kimuonekano, asili yake, imani yake n.k.
Huenda nyote wawili mnalijua hilo lakini hakuna anayethubutu kuweka hisia zake hadharani ili kutomkwaza Mwenza wake.
Labda kwa zile ndoa zinazoingia kwenye misukosuko ya mara kwa mara inayopelekea kutoleana maneno makali yasiyojali hisia za mwingine.
Bila shaka mpo wengi mnaoweza kukiri kuwa hamuishi na Wenza wa ndoto zenu.
Kama ndoa imefikia miaka 20, hapo wote watakuwa wamekubaliana na hali zao.Mkiwa tayari kwenye ndoa, tena mkiwa na miaka hata 20, na tayari Watoto mnao.
Hivyo ndivyo inavyopaswaa kuwa lakini kwa wengi sio rahisi.Ni uduwanzi kuoa/kuolewa na mtu ambae hakidhi matarajio yako, wengine wanasema mwenza wa ndoto yako
Mpaka unafanya maamuzi ya kuolewa/kuoa that means you feel sucured with that person emotionally, financially, spiritually and socially, kinyume na hapo unajidanganya
Kumbuka mke/mume ni mtu ambae utaishi nae maisha yako yote mpaka kifo kiwatenganishe, together you will face the ups and downs of this world kwa sababu ya upendo, endless love between the two of you, don't make wrong choices, because the choices will do wrong to you
Upo sahihi kabisa.Kama ndoa imefikia miaka 20, hapo wote watakuwa wamekubaliana na hali zao.
Hii ndio haswa ninachokiongelea.Yeah,niliweza.Nilimchana live kwamba sijawahi kupenda kiukweli akajibu najua hilo ila usiniache.Nadhani nimejibu swali mkuu
Si lazima kukosa chaguo na kuamua kuolewa tena.Mi naamini ndoa is not everythingHii ndio haswa ninachokiongelea.
Na unaweza ukasubiri upate chaguo la moyo wako na umri usikubali kukusubiria.....ukaishia kunyoosha mikono juu na kusurrender.
Hilo la kuolewa tena ni jambo lingine. Hebu tumuangalie yule ambaye hajaoa au kuolewa na yupo anasubiri kupata tamanio la moyo wake.Si lazima kukosa chaguo na kuamua kuolewa tena.Mi naamini ndoa is not everything
Very sadHilo la kuolewa tena ni jambo lingine. Hebu tumuangailie yule ambaye hajaoa au kuolewa na yupo anasubiri kupata tamanio la moyo wake.
Kwa Mwanaume basi ndio atapambana apate kazi/pesa ili ajiweke kwenye nafasi nzuri ya kumpata yule anayemkusudia bila ya kipingamizi.
Na kwa Dada zetu ndio hivyo leo atamkwepa Mnywaji, Mvutaji, Asiyenacho n.k lakini hatimaye akiona umri unamtupa mkono anaangukia kwa mvutaji akamvumilie hivyo hivyo mbele ya safari.