Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,436
- 4,241
Kwa upande mwingine hakika ni changamoto kubwa... Lakini unaonaje kama sheria itafuatwa na ustaarabu, hii haitakuwa jambo jema kwako...??
Daaah. Kaka kile kitu kushirikiana huku unajua yataka moyo kwa kweli.
Ila nimpongeze huyo aliyemkaribisha mwenzie japo hapo ipo namna si bure. Sababu kwa hali hiyo hawashindwi hata kulala wote na mume wao kitanda kimoja na wakajionea sawia tu.